Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Kabisa, tena uzuri una vibaby viwili tayari khaa usijipe stress. Enjoy maisha, muda wako ukifika Mungu atafanya tuYeah nimemshukuru Mungu Kwa Yote na Nimemuachia Yeye anipatie mwanamke sahihi na bora
Mweeeh!! Ibra wewe kila ukisimulia ni majanga tu, pole mwaya, mahusiano ni kizungumkuti.
Kabisa, tena uzuri una vibaby viwili tayari khaa usijipe stress. Enjoy maisha, muda wako ukifika Mungu atafanya tu
Kwa kweli bora kina Tina wakustress kuliko kupewa stress na watu wazima wasio na shukranina hao ndio wananifanya nijihisi ni mwenye majukumu sana
Kwa kweli bora kina Tina wakustress kuliko kupewa stress na watu wazima wasio na shukrani
Hahaha me naona hadi siku nidondoke kwa presha ndo ntaacha. Sasa wewe ni mtata, muache mwenzio ashike yako, yake usishike coz umeamua teh teh. Nipe umbea kidogo ulikuta breaking news gani humo
wrong Quote Atoto... Sio hii
Wrong quote kivipi? Sijakuelewa
aah nimekosea miye bhana.. Nimeangalia kwa Macho kumchuzi... Niliyoyapitia mimi ungeyapitia wewe tungekuwa tunasema mengine mpaka muda huo
Mmmmh!! Kwakweli sijapitia maziiiito ya kukatisha tamaa, ila naona tu watu wanavyoteseka na mapenzi naishia tu kuwahurumia, pole mwaya utaja tu mpata aliye wako.
:shock: Miaka 52 na bado anachepuka daah!:eek2:
50 years bado yankii kabisa mi nina 65 bado mashine iko speed 200
Kuchepuka hakuna umri ndugu, ni ukakamavu wako tu.
Ndoa nyingi zipo icu..
..japo siku hizi hunipi tamu kama mwanzo...teh! Nakumbuka mwanzoni ulivyokuwa unanipa bila kukuomba..Ya kwetu mimi na wewe ipo heaven......
..japo siku hizi hunipi tamu kama mwanzo...teh! Nakumbuka mwanzoni ulivyokuwa unanipa bila kukuomba..