Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,080
- 27,507
Mkuu mi nadhani mnawapa mbinu wanawake ya kuzidi kutuumiza. Nadhani hii kitu ya kuliwa mke siyo ya kuongelea kabisa. Tukizidi kuiongelea wao ndio wanapata mabichwa na kuzidi kutuumiza zaidi. Mke anauma jamani. Ukianza kufikiria ile attention alokua nayo kwako kampelekea mtu mwingine daah. Mkuu hii isikie kwa mtu.
Mpinzani wako hatakiwi kujua udhaifu wako.
Mpinzani wako hatakiwi kujua udhaifu wako.