Maumbile yake ni makubwa

Mkuu mpige style ya winga teleza mbona mashine yako itakuwa inamtosha vyema tu acha uoga vinginevyo njoo PM nkuelekeze kwa kupata dawa za kuikuza machine yako iendaje na tundu unalozamishia
 
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
 
Njia tulizowekewa na Mungu zilikuwa bora sana. Kwa kuwa tumeamua kufuata njia zetu ndio maana tunapatwa na shida sana.
 
Hawa hawawezi kukuelewa.
Ila ilinikuta dogo anakaa kwao tanga. Mwezi wa kwanza alikuja tukafanya ilikuwa fresh.
Mwezi huu wa sita kaja nimefanya nae naona tofauti kabisa kabisa. Imekuwa kubwa nikaona hapa nimeshaibiwa huyu dogo huko tanga anagawa uroda.
maumbile ya mwanamke na mwanaume ni tofauti sanaa. Mimi naweza kufanya mapenzi na wanawake hata wanne wakati yeye hayupo ndani ya miezi hyo sita na yeye akirudi nikafanya nae asione utofauti wowote.
 
Hamia uani Mjomba. Anza tabia ya kufagia uani! Daile!
 
Mungu alikuwa na makusudi sana kusema uzinzi na uasherati ni dhambi.

Na ilitakiwa tuowane wote tukiwa bikira. Ndoa zingedumu sana maana ingekuwa hakuna mambo ya sijui unawahi kufika, oooh maumbile makubwa. Ukisema makubwa madogo umeyaona wapi?
Kabisa ndugu yangu ila ndo hivyo kwa dunia ya sasa tukisema haya maneno tunaonekana washamba na tunaambiwa eti Mungu amesharuhusu uzinzi na uasherati tena ndo ushangae sasa wanakwambia eti ameruhusu kwa wanaume tu kwa sababu wana tamaa ila kwa wanawake hajaruhusu sasa nabaki najiuliza hao wanaume wanaoambiwa wameruhusiwa wanafanya hayo na kina nani sasa kama wanawake hawajaruhusiwa?

Yaani mtu anatoa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu nawaza tu sijui kama hayo ndo majibu watakayoenda kumpa Mungu siku ya hukumu kuwa eti "Mungu tulijua umeruhusu" kama mtu akijua ana dhambi ni bora akiri na atubu atasamehewa na siyo kutafuta sababu za kutetea na kuhalalisha hizo dhambi maana atahukumiwa
 
[emoji3][emoji3] Imefika hatua uzinifu tunachukulia jambo la kawaida sana.
Ila madhara yake ni makubwa, kuanzia kijamii, kiuchumi na kiafya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…