Lekundayo2
Member
- Nov 23, 2017
- 33
- 37
Nimeleta hapa huu uzi kwa kuwa,Ki-mtazamo jambo hili limebeba maana kubwa Kwenye kesho yangu mahusiano.
Nimekuwa na kiu kubwa ya uhitaji wa mchumba kwa lengo la kuwa mke.. Mungu sii juma wala James, nimepata tena wa kabila langu na mwenye sifa nyingine nzuri, tuliridhiana na Kuanza mahusiano tulikaa miezi miwili bila kukutana,kabla yake nimewahi kuwa na mahusiano tofauti hivyo ninaexpirience nzuri juu size ya maumbile ya kike. Ni hivi juzi tuu ilitokea akaja kwangu na nikatembea nae tangu tufahamiane,Nilipokuwa nafanya nae niligundua kuwa maumbile yake ni makubwa kiasi kwamba mashine Ilikuwa kama ipo hewani Mara nyingi, na mwajua vema kinachotokea, ni kuchelewa kumwaga, nilitumia zaidi ya lisaa limoja ndo nikamwaga.
Tangu juzi nimebaki nang'aa tuu macho na nisijue kipi kitakachojiri kwani kweli nilimkubali sana huyu mdada na naona kabisa moyo umeanza kusita, hadi najiskia vibaya...
Mawazo yenu yanaweza kunipa mwanga mwingine aidha nikasonga, au vinginevyo ilimradi Nipate mwanga ili nijue mustakabali wa mahusiano haya mapya yenye nia njema kabisa ya kuwa wanandoa
Hofu yangu ni moja tuu, niliwahi kusema sitaki kuoa na Kisha siku itokee nimtese, au kumuumiza kihisia mtoto wa watu.. Sasa nimeona kitu kitakachopelekea shida nisiyoitaka mbeleni kimejitokeza. Nifanyeje...
Na je hilo tatizo Lina tiba au sulihisho lake ili kama Kuna tiba nihangaike nae nimtibu.
Naomba mawazo yenu