nimekuwa nikutana na watu tofauti hapa na pale na kuna kitu nime-note
watu wafupi hasa wanaume hawajiamini halafu ni wabishi sana,wakiongea kama wanatetea kitu au wanagombana huwa wanapiga vifua halafu wananyanyua miguu kwa nyuma kama wanataka kuruka,jamani mlishaona hiyo?maumbile ya mtu yanaweza kuonyesha tabia yake?
Inaonekana kakukuna na umeonyesha hasira.unaaandika na kufikiri kwa kutumia MASABURI
unaaandika na kufikiri kwa kutumia MASABURI
unaaandika na kufikiri kwa kutumia MASABURI
Me nimenote kwa watu wafupi,ni wabishi,waongo,misifa,wajeuri na wasiopenda kupitwa na kitu! Ni kweli ndivyo walivyo watu wafupi. Sijui kwa watu warefu au wastani. Mia!!!
Na wanaume wenye viganja virefu wana mashine ndefu pia!
kama urefu wa rula tatu hivi,cm 90!!teh tehHivi watu wafupi ni wa urefu kiasi gani?
teh teh teh!!wewe jamaa utakuwa mfupi sana,hasira dhahiri kabisa umezitoa!!pole,ya mungu hayo mvumilieunaaandika na kufikiri kwa kutumia MASABURI