Kuna uhalisia wowote kati ya mwezi wa kuzaliwa na tabia za mtu?

nkanziga

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
675
1,078
Kuna vitu nimekua nikivisikia kuhusu mwezi wa kuzaliwa na tabia za mtu mfano watu waliozaliwa mwezi wa saba mwishoni hadi wa nane katikati hasa wale wanaoitwa Leo ni wakarimu, wapole, wakimya, wacheshi yaan very humble.

Kuna ukweli wowote?
 
Wewe muoe tu, mtakuja kujuana tabia halisi mbele ya safari kwa sasa anaficha makucha.
Khaa....!
20230919_182750.jpg
 
Back
Top Bottom