Maumbile na tabia ya mtu

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,889
3,412
nimekuwa nikutana na watu tofauti hapa na pale na kuna kitu nime-note
watu wafupi hasa wanaume hawajiamini halafu ni wabishi sana,wakiongea kama wanatetea kitu au wanagombana huwa wanapiga vifua halafu wananyanyua miguu kwa nyuma kama wanataka kuruka,jamani mlishaona hiyo?maumbile ya mtu yanaweza kuonyesha tabia yake?
 
unaaandika na kufikiri kwa kutumia MASABURI
 
Inawezekana ila kwa % ndogo sana kuna theory inaeleza kuwa watu wenye macho makubwa viganja vikubwa vichwa vikubwa wanaweza kuwa wahalifu
 
Wataalamu wanasema kuwa maumbile ya mtu yana toa mara nyingi tabia yake..

Ndiyo maana kuna wengine hata unavyotembea wanajua wewe ni mtu wa aina gani...
 
Mfano Rais kikwete tabia yake inatokana na maumbile yake kweli mbona sitai kuamini vile ha ha ha ha ha ha
 
Me nimenote kwa watu wafupi,ni wabishi,waongo,misifa,wajeuri na wasiopenda kupitwa na kitu! Ni kweli ndivyo walivyo watu wafupi. Sijui kwa watu warefu au wastani. Mia!!!
 
Kwamba madada wenye midomo mipana na nafasi kubwa kati ya kidolegumba cha mguu na vidole vingine wana K si mchezo
 
Hahahahaha! Hiki kichekesho au? Lol! Mi nimegundua watu wenye vitambi wanapenda sana kula kula.
 
wanawake wanene na weupe wengi wana tabia ya dharau kwa wanaume na wanawake wenzao. Na wanawake wanene, weupe au weusi wengi ni wavivu kweli
 
Na wanaume wenye viganja virefu wana mashine ndefu pia!

kwikwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! hapo mie simo kabisa, la kwako hilo. Sasa usiombe wale waliokua kwenye maeneo wanakokunywa ulanzi. Eti inasemekana ulanzi unakuza maeneo
 
nimekuwa nikutana na watu tofauti hapa na pale na kuna kitu nime-note
watu wafupi hasa wanaume hawajiamini halafu ni wabishi sana,wakiongea kama wanatetea kitu au wanagombana huwa wanapiga vifua halafu wananyanyua miguu kwa nyuma kama wanataka kuruka,jamani mlishaona hiyo?maumbile ya mtu yanaweza kuonyesha tabia yake?

Mlipe hela zake aende zake huyo. tena ni mgonvi sana huyo usimkope tena.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom