Pitia huo uzi mkuu...Nimatumaini yangu hujambo na karibu;
Nimemsikia Dr. Magufuli akisema kuna zaidi ya ajira mpya 13elfu(kada ya ualimu, msingi na Sekondari), na ukweli ni taarifa mpya kwangu.
So kama kuna kiongozi yeyote hapa mwenye uelewa na hili tafadhali tudadafulie..
Ahsante,
JF 4 lifee
#magema jr
mbona sizioni ziko website gani?
Usiamini mwanasiasa wa ccm hata kama akiwa mama yako.Mda ndo huu msaada tafadhari.