Maulizo juu ya ajira mpya 2020

Maulizo juu ya ajira mpya 2020

"Amelaawaniwa mtu amtegemeae Bindamu kama kinga yake".

Mnakosa sana Baraka kwa kutegemea ndugu, jirani, na watu tofauti tofauti kwa kuwaita " connection"...

Connection ya kweli ni MUNGU tu...nimeona jinsi alivyonipigania kwenye interviews ngumu...alivyonitoa chini na kuniweka nikae na wakuu juu.

Watahiniwa wengi walikua wanaingia kwenye interviews wakiwa wamepata pande kwa watu ..mm niliingia na MUNGU.

Mtoa mada, achana na watu kama connection..jikite kwenye kumuamini MUNGU kwenye kutafuta kwako.

Nakuhakikishia ukifanya team work na MUNGU...hatokuacha.
 
Kipaumbele ni walimu wa Sayansi ila Mathematics na Physics Kwa mfano intek iloko mtaani wa hayo masomo ni wale walomaliza mwaka jana 2019, na katika ajira zinazokuja lazima waajiriwe wote...
Nipo hapa Mwlm wa PHYSICS NA CHEMISTRY na nemehitimu 2016! vip wasemaje hapo na si mimi tu nina washikaji tumehitimu pamoja zaidi ya 10 na hawapata ajira.
 
Nipo hapa Mwlm wa PHYSICS NA CHEMISTRY na nemehitimu 2016! vip wasemaje hapo na si mimi tu nina washikaji tumehitimu pamoja zaidi ya 10 na hawapata ajira.

Duuh hiyo ndo mpya nayo skia.. Naowafaham wote walimu wa Maths na Physics hawako mtaani kabisa zaidi ya wa mwaka jana. Jaribu kuangalia infomation zako unazo jana kama ziko sahihi
 
Duuh hiyo ndo mpya nayo skia.. Naowafaham wote walimu wa Maths na Physics hawako mtaani kabisa zaidi ya wa mwaka jana. Jaribu kuangalia infomation zako unazo jana kama ziko sahihi
Kakudanganya nani kuwa hawako mtaani!? Yani kwa taarifa yako wapo wa kushanta tu, usimfariji mwenzako. Saivi ajira za ualimu ni shida tupu
 
Mwezi huu katikati au wa nane mwanzoni Ajira za Walimu zitatolewa.Mvute subira .
Walimu wanahitajika sana sasa hivi mashuleni kuna uhaba sana wa walimu na pia baada ya shule kufungua kupisha kipindi cha mpito huko mashuleni walimu wanaombea sana walimu wapya waongezwe.
TJPM2020.
 
Nipo hapa Mwlm wa PHYSICS NA CHEMISTRY na nemehitimu 2016! vip wasemaje hapo na si mimi tu nina washikaji tumehitimu pamoja zaidi ya 10 na hawapata ajira.
kama wewe wa physcs & chemstry upo mtaani, mie wa englsh & kisw nazidi kata tamaa
 
Ninavyojua mimi Walimu wa masomo ya Science wengi wao sio wote walikuwa wanajitolea kufundisha katika shule mbalimbali za serikali tangu January mpaka 17 March hawa ndio watakuwa KIPAUMBELE CHA HIZO AJIRA.
Mkuu ni kama ulijua na unajua kitu kuhusu ajira hizi,kama ndy niruhusu nije Pm.
 
Nyie mwalimu nahisi mmelaaniwa, maana kila uchaguzi unapofika mnasahau kabisa shida zenu ..mkishasikia kuna ajira 10000+ zitamwaga basi hamuelewi kabisaaa..mnakipigia tena kura chama chakavu mnapigwa tena miaka mitano bila kazi ukifika mwaka wa uchaguzi mnalambwa kwa ahadi nyingine za ajira ivyo ivyo mzunguko unaendelea..
 
Nimatumaini yangu hujambo na karibu;

Nimemsikia Dr. Magufuli akisema kuna zaidi ya ajira mpya 13elfu(kada ya ualimu, msingi na Sekondari), na ukweli ni taarifa mpya kwangu.

So kama kuna kiongozi yeyote hapa mwenye uelewa na hili tafadhali tudadafulie..

Ahsante,

JF 4 lifee

#magema jr
 
Back
Top Bottom