Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,321
- 219,633
Yuko sahihi kabisa ,hata wewe lini ulifika bandariniBado haijafahamika hasa alikuwa analenga nini , kama kutetea uuzwaji wa Bandari yeye ni mtetezi mkubwa sana na anafahamika , sasa huku alikoenda ambako ni kushambulia Wanaopinga Bandari zetu kuuzwa kwa Wadubai , kwa kudai kwamba wapingaji walipaswa kuwa wale tu waliowahi kufika bandarini kutazua sintofahamu .
Wengine wameenda mbali sana kwamba kama ni lazima ufike sehemu unayoipinga kuuzwa , na wale wanaopinga Ushoga waliwahi kufika wapi ?
Nadhani Maulid Kitenge anapaswa kwenda Taratibu na huo Uchawa wake , huko tuendako itakuja kusababisha Sintofahamu
Wanaopinga ushoga waliwahi kuwa mashoga ?Yuko sahihi kabisa ,hata wewe lini ulifika bandarini
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Herding behavior is an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of group objective or fear of their leaders, (unyumbu), kujitoa ufahamuBado haijafahamika hasa alikuwa analenga nini , kama kutetea uuzwaji wa Bandari yeye ni mtetezi mkubwa sana na anafahamika , sasa huku alikoenda ambako ni kushambulia Wanaopinga Bandari zetu kuuzwa kwa Wadubai , kwa kudai kwamba wapingaji walipaswa kuwa wale tu waliowahi kufika bandarini kutazua sintofahamu .
Wengine wameenda mbali sana kwamba kama ni lazima ufike sehemu unayoipinga kuuzwa , na wale wanaopinga Ushoga waliwahi kufika wapi ?
Nadhani Maulid Kitenge anapaswa kwenda Taratibu na huo Uchawa wake , huko tuendako itakuja kusababisha Sintofahamu
Kitenge sio wa kumpa attention sana kwanza ana division zero form six pale Al HaramainBado haijafahamika hasa alikuwa analenga nini , kama kutetea uuzwaji wa Bandari yeye ni mtetezi mkubwa sana na anafahamika , sasa huku alikoenda ambako ni kushambulia Wanaopinga Bandari zetu kuuzwa kwa Wadubai , kwa kudai kwamba wapingaji walipaswa kuwa wale tu waliowahi kufika bandarini kutazua sintofahamu .
Wengine wameenda mbali sana kwamba kama ni lazima ufike sehemu unayoipinga kuuzwa , na wale wanaopinga Ushoga waliwahi kufika wapi ?
Nadhani Maulid Kitenge anapaswa kwenda Taratibu na huo Uchawa wake , huko tuendako itakuja kusababisha Sintofahamu
Kitenge ni takataka kama takataka zingine za uswazi! haya ni form 4 failures hivyo kuingia kwenye technical arguments naye ni kujishishia hadhi, size zake ni MsukumaBado haijafahamika hasa alikuwa analenga nini , kama kutetea uuzwaji wa Bandari yeye ni mtetezi mkubwa sana na anafahamika , sasa huku alikoenda ambako ni kushambulia Wanaopinga Bandari zetu kuuzwa kwa Wadubai , kwa kudai kwamba wapingaji walipaswa kuwa wale tu waliowahi kufika bandarini kutazua sintofahamu .
Wengine wameenda mbali sana kwamba kama ni lazima ufike sehemu unayoipinga kuuzwa , na wale wanaopinga Ushoga waliwahi kufika wapi ?
Nadhani Maulid Kitenge anapaswa kwenda Taratibu na huo Uchawa wake , huko tuendako itakuja kusababisha Sintofahamu
Nazidi kumuelewa LISSU kuhusu waandishi wa habar waliopewa 6mBado haijafahamika hasa alikuwa analenga nini , kama kutetea uuzwaji wa Bandari yeye ni mtetezi mkubwa sana na anafahamika , sasa huku alikoenda ambako ni kushambulia Wanaopinga Bandari zetu kuuzwa kwa Wadubai , kwa kudai kwamba wapingaji walipaswa kuwa wale tu waliowahi kufika bandarini kutazua sintofahamu .
Wengine wameenda mbali sana kwamba kama ni lazima ufike sehemu unayoipinga kuuzwa , na wale wanaopinga Ushoga waliwahi kufika wapi ?
Nadhani Maulid Kitenge anapaswa kwenda Taratibu na huo Uchawa wake , huko tuendako itakuja kusababisha Sintofahamu
Yuko Ipinda anafuga nguruweYuko sahihi kabisa ,hata wewe lini ulifika bandarini
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Ila ana pesa kumzidi baba yakoYule ni taahira kama teja vile na ni mnufaika wa safari ya Dubai.
Huyu hajasoma ni mdomo unamlinda