duuuuuu! aisee kila mtu na fani yake, hapo mie ni maluweluwe tu na mawengewenge, lakini kwa kuwa wengi wamesema thank you, ngoja na mimi niseme thank you maana ktk hili mie ni kama kenge kwenye msafara wa mamba!

Hahahaha aaaa huu ndio ujinga wa watanzania kujifanya tunajua meengi ya kisasa lakini yanaishia kwenye laptop zetu na humuhumu JF, ushuzi mtupu!
Toa suggestion, acha kashfa!! Hili jukwaa sio la udaku wala upuuzi, kama sio level yako shut-up-dude
ticha si nzuri basi ASANTE MWALIMU tena hii ya NyerereBuji....ntake radhi bana mi sio ticha...kwikwiiiii
akili zako kama macho yako zipo nje ya kichwa!Shame on you, wasting a lot of time discussing dumb things and calling yourself great thinkers! Wenzenu wanatengeneza program nyie mnapoteza muda kupeana ujuzi ambao kwa wenzenu wanafanya watoto wa shule ya vidudu! kaazi kwelikweli!!! yaani inachekesha kujua mengi yasiyokuwa na tija!!!