Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,107
- 6,043
Baada ya kulimwa ban ya siku kadhaae, leo kwa nguvu na afya tele tuangalie sehemu ya tano ya maujanja, make life ease in that way
If you have any comment, write down straight ahead nitazijibu, ukizidiwa usiache kugonga 'like'....tuendelee:
1. Kuondoa autorun.inf virus kwenye computer yako kwa kutumia winrar
Ujue computer nyingi kama sio zote zinakuwa affected na huyu virus. Huyu Jamaa/virus anaingia automatically kwenye mashine yako kwa kuingiza CD/DVD kwenye computer yako. Mara inapotoka ile pop-up window ukiifungua basi huyu virus anapenya moja kwa moja na kuharibu PC/Laptop yako.
Huyu virus ana-corrupt drives zote za hard disk zako, na mara nyingi uki-open hiyo drive kwa double-click basi inafunguka window nyingine mpya.
Ukidoble clik folder badala ya kufunguka lile folder linafunguka kwa window folder jingine. Kesi nyingine ni kwamba huyu virus anafanya baadhi ya mafile yasifunguke sawasawa.
Muda mwingine hidden file hazionekani due to this fckn virus autorun.inf
Hope this is clear!!
Twende
-Hapa huitaji antvirus wala malware yoyote kuwatoa hawa jamaa.
-Kwanza ondoa/disable autorun za CD/DVD na USB
(Right click CDROM icon nenda kwenye properties-disable)
-Fungua winrar.exe(hapa lazima hii winrar uwe nayo, computer nyingi inazo)
-Hapa Start–>All Programs–>WinRar–>WinRar.exe).
-Sasa hapa browse drive iliyokuwa affected na autorun.in kwa kutumia winrar explorer
-Hapo utaziona hidden files zote kwenye hilo drive
-Angalia file za autorun.inf na right click fungua kwa notepad.
-Sasa katika autorun file utaona .exe file ambazo zinafunguka kwa autorun files
-Sasa hao .exe file ndio haswa madubwasha yenyewe ya kuyaondoa.
Jinsi ya kuyaondoa.
-Chukua karatasi na ziandike .exe files zote unazoziona katika autorun.inf file, badae close hilo file.
-Sasa nenda kwenye drive yako(labda C),halafu delete hizo .exe zote along with autorun.inf
-Restart mashine yako. Your done.
2. Kulock folder yoyote kwa XP bila kutumia software.
Wale watu wenye mambo yao yale....basi unaweza kuweka mambo yako kwenye folder halafu ukalilock au kulificha kabisa na mtu yeyote zaidi yako hataweza kuwa na access nalo, wala kwenye hidden files/folder halitaonekana. So you can put it so safe:
Kivipi...twende:
-Tengeneza folder lako kwenye desktop C drive na rename kama 'abc'..bila quote.
-Fungua command prompt kwenye Start=>Run, hapo andika "attrib +s +h C:\abc"..bila quote.
-Gonga enter.
-Hiyo command itafanya folder lako lisionekane(invisible) hata kwa hidden files.
-Kufanya hilo folder lionekane(visible) rudia hiyo process.
-Kwenye run andika "attrib -s -h C:\abc"..bila quote.
Unaweza kufanya hiyo kitu kwenye drive yoyote ile, sio lazima iwe C drive.
Kushney.
3. Kuweka picha kwenye folder background.
Window XP ndiyo inatumiwa na users wengi na hapa unaweza kulifanya folder lako liwe na picha yako kwa nje na kufanya watu wengine washangae, balada ya kuonekana folder icon inaonekana picha yako, ukiigonga inafungua files za ndani.
Ni nzuri just for visualize and appearance. So twende sasa.
-Fungua folder ambalo unataka picha yako ionekane as background, hakikisha kila files zionekane kwenye hilo folder
-Kuhakikisha hilo fanya hilo, fanya hivi .Nenda kwenye Start > Control Panel > Folder Options > View tab, pale kwenye "Hidden files and folders" tia tick hii "Show hidden files and folders" .
Halafu hapa ondoa tick kama ipo "Hide protected operating system files (recommended)"
-Hapo ndani ya hilo folder lako hakikisha kuna kifile kidogo kinaitwa "desktop.ini".
-Kama halipo usikonde, fanya hivi. Fungua hilo folder lako(inside) window itatengeneza hilo file kwa ajili yako. Ndani ya hilo folder Right click hiyo empy area=>Properties > Customize tab > Click "Customize" button > hapo chagua normal folder icon, Apply, OK. Hapo litajitengenza hilo file.
-Sasa hilo ndilo file tunalolihitaji. Ukiliona lifungue, halafu ongeza hii mistari hapa chini:
[ExtShellFolderViews]
{BE098140-A513-11D0-A3A4-00C04FD706EC}={BE098140-A513-11D0-A3A4-00C04FD706EC}
[{BE098140-A513-11D0-A3A4-00C04FD706EC}]
IconArea_Image=C:\My Folder Background.jpg
-Sasa hapo edit huo mstari wa mwisho (IconArea_Image=C:\My Folder Background.jpg) iwe path ya picha yako ulipoiweka.
Au njia rahisi hapa ichukue picha yako right click nenda kwa properties hala itakuonyesha location ya picha yako, then pale kwenye C: badilisha weka location ya picha yako(hope this is clear).
-Save file lako na lifunge(close it). Then refresh....utaona image yako ipo kwenye hilo folder.
-Usiopoiona nenda kwenye view halafu gonga thumbnail.
Kwisha.
Kwa leo tuishie hapo. Ijumaa njema members.
Mada zilizopita gonga hapa