Maujanja ya Computer (Must read)-No 5:

JE KWA WINDOW 7 INAKUBALI?
Window 7 na 8.1 pro zilikubali lakini inaleta ilo tatizo kwa sasa natumia window 8.1pro kila mara ina load sana na ikifunguka sometimes lazima usubiri kwa muda ndo program zina onekana sasa ukiclick program inasema this pxc not responding
 
MADHARA NILIO YAPATA

Nime jaribu ku-lock mafaili kama nilivyo elekezwa hapo juu lakini kilichotokea duh! autorun wamejaa kibao, Sirudii tena kujifunza maujanja yenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom