Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,204
- 13,409
jambo ninaloshangaa raia wa uganda,rwanda na kenya wakishikwa wanarudishwa kwao fasta,lakin raia wa malawi walioambiwa wakajiandikishe wapewe vibali vya kuishi.kwa nini raia wengine wasisingeambiwa hivo.
mimi naona kuna aina fulani ya kulipizana kisasi na jirani zetu wa afrika mashariki,pia walioshikwa wengi ni black wakat kuna wahindi,waarabu kibao,hawana vibali harafu kamanda anajidai kusema tumeshika na wahindi 2,ili ionekane kuna raia wengine pia.
na ata majirani zetu washausoma mchezo ndio maana wameanzisha umoja wao,na watatekeleza kwa vitendo waliyokubaliana ili watuache kwenye mataa.
sisi tutakalia na uchadema,uccm,unga etc
sasa baada ya kukuhoji walikuacha? mbona waluo wako wengi lakini walikufuata wewe? sasa unataka wafanyeje wawakamate wazaramo?
Kwanza naomba ku-declare interest yangu hapa!
"I am not only a Tanzanian or just a Luo, but a citizen of the world...."
Tarehe 16/09/2013 niliitwa Uhamiaji Makao Makuu kwa kisingizio kuwa mimi si raia halali wa nchi ya Tanzania...
Walifuatilia jina langu; wakaangalia na sura yangu eti waka-rule out kuwa mimi si raia wa Tanzania! Wengi wamepata kashi kashi
hizi hapa mjini na maeneo mengine kama Arusha, Kigoma, Kagera, Musoma, Mwanza, n.k
Wakaniuliza maswali mengi likiwemo hili la kustaajabisha kidogo... Kuwa "Babu mzaa baba yangu au Bibi mzaa mama yangu aliingia
lini nchini Tanzania...???" Maswali ya kipuuzi nami niliwajibu kipuuzi "Sijuhi kwa sababu sikuwepo kuthibitisha kama ni kweli walitoka
sehemu nyingine kuingia nchini Tanzania ama la"
Lakini nami nikawauliza sheria inasemaje kuhusu uraia? - Maelezo niliyopewa hayakuridhisha na ni kiri tu kuwa wale jamaa
wanaoweka pale ni weupe sana kichwani!
Nikauliza tena swali: Nani ni Mtanzania? Je kama tukianza kuwafuatilia watu kwa asili ya majina yao na maeneo tunayohisi historia
ndiko ilikoanzia kuna watu watakuwa Watanzania kweli?
Jamani maudhi ya operesheni hii ni mengi sana usiombe yakufikie! Ni waase tu wale wenye majina yenye asili ya nchi kama Kenya,
Sudani Kusini, Congo DRC, Uganda, Rwanda, Burundi, n.k kamwe usitembee bila vitambulisho vyako - Birth certificate, Voter ID, n.k.
Zoezi hili linaweza kuwa na nia njema kabisa lakini waliopewa kulisimamia na mbinu wazazotumia zitatuachia nyufa nyingi sana na
uhasama mkubwa sana na majirani zetu! Lakini pia unabaki unajiuliza maswali mengi bila majibu.
Ina maana hapa nchini usalama wa Taifa hawajui majukumu yao?
Mbona zoezi hili ni kwa baadhi ya watu tu tena waAfrika wenzetu?
Mbona zoezi linazingatia majina ya watu na muonekano wa sura zao tu?
Je, ni halali kwa waendesha operesheni kukamata/kugawana mali za watuhumiwa?
Je, taratibu za kidiplomasia zinaelekeza hivi au hizi ni hasira dhidi ya Kenya, Rwanda na Uganda?
jidodo jaribu kutumia busara na kama hauna kakope tafadhari. Unatia aibu tu kwa JF pamoja na Taifa. Huyu jamaa ana issue!
Kwanza naomba ku-declare interest yangu hapa!
I am not only a Tanzanian or just a Luo, but a citizen of the world...."

WaGOGO ndiyo orijno.....! acheni mbwebwe
umeonae, hivi hawa CHADEMA vipi?mkishikwa vibaya hamkosi visingizio
sasa baada ya kukuhoji walikuacha? mbona waluo wako wengi lakini walikufuata wewe? sasa unataka wafanyeje wawakamate wazaramo?
JP OMUGA nimekuelewa na ninashukuru kwa comments zako ili watu wengine waweze kupata faida. Ninaomba usikatishwe tamaa na watu wenye IQ ndogo na kotokuwa na busara ambao wanajaribu kuona tatizo lako siyo issue ya maana. Hii nchi inasikitisha sana tena sana. Hata hao wasomi wetu wataanza kuulzwa maana siamini kama kweli hawa jamaa walipanga namna ya kufanya ili kukamilsha hili zoezi. Yaaniwamekaa kwenye mezi na kupena kazi bila utaratibu wowote. Hii ndiyo TZ!! Maneno mengi but they cannot deliver at all! Paper work etc wanajua sana lkn waaambie wafanye kazi uppuzi mtupu. We angalia maswali wanayouliza? POssibly hawajui objectivs zilikuwa ni zipi ktk huu msako! pole sana mutani!!!!!!!
Mpendwa tunaiharibu TZ.kwa mikono yetu wenyewe... soma hapo:-wewe kama siyo Mtanzania jiondokee.