Mauaji ya visasi

Mwanzo 6:2

"wana wa Mungu wakawaona kuwa hao binti za wanadamu walikuwa wazuri wa sura, wakaoa yeyote miongoni mwao waliyemchagua."

Wana wa Mungu = Malaika(Hao waasi)
 
Hapana familia ipate fidia ya haki
Umejuaje Kama hawajamalizana pembeni? Issues nyingine hufanyika undercover sio lazima wewe raia utangaziwe!!

Hivi kwa Akili yako bwana mshana kwa Tukio alilofanyiwa Mzee Mwamwindi na serikali hii hii ya CCM ,mwanae huyo pichani (Amani) angethubutu kuwa mwanachama mtiifu wa chama tawala kiasi Cha kuja kuwa meya wa manispaa Iringa,?

Ndio nakumbuka kisa Cha mkuu wa Sasa wa mkoa wa Mwanza,ambaye nakumbuka alikuwa akizunguka maeneo mbalimbali nchini miaka ya tisini na kutangaza kuwa serikali ya Tanzania ilimuua baba yake(aliyefariki uingereza punde baada ya kujiuzulu uwaziri wa fedha na kutangaza kuwania urais kwa chama pinzani) Kisha baadae akawa mbunge kwa chama hichohicho alichodai kilimuua baba yake na Kisha uwaziri(kumbuka ile kashfa ya kuibiwa bastola hotelini morogoro) na Sasa ukuu wa mkoa,wafikiri hayo yaja kwa bahati nasibu tu?
Jiongeze kaka,Akili ni nywele...
 
Ungesoma vizuri ungeelewa nilichoandika! Nimetumia maneno FIDIA YA HAKI na si hizi fidia za michongo! Na labda niongeze neno FIDIA YA KISHERIA...Kuna siku hao watoa fidia za michongo hawatakuwepo mamlakani! Hiyo ndio point yangu
 
Labda unielimishe,FIDIA YA HAKI ni nini?
 
Inayofuata sheria inavyotaka ikithibitika kuna kosa lilitendeka
Sio kwa katiba yenu hii ya kuwa watendaji wa mhimili wa mahakama wanapokea maagizo toka mhimili mmoja uliojichimbia chini (deep state)
 
Sio kwa katiba yenu hii ya kuwa watendaji wa mhimili wa mahakama wanapokea maagizo toka mhimili mmoja uliojichimbia chini (deep state)
Kila kitu kina mwisho wake, kama sasa wakoloni wanalipa mabilioni ya dola ya fidia kwenye nchi makoloni yao miaka hiyo kwa sababu ya mauaji, mateso ukatili na unyanyasaji hata huku kuna siku itawadia
 
Kila kitu kina mwisho wake, kama sasa wakoloni wanalipa mabilioni ya dola ya fidia kwenye nchi makoloni yao miaka hiyo kwa sababu ya mauaji, mateso ukatili na unyanyasaji hata huku kuna siku itawadia
Sasa huku mbona wakoloni hawajalipa?
 
Karma as usual
 
Kaini kumuua mdogo wake, kisa kikuu siyo sadaka but ni mwanamke aliyepaswa kuolewa na mdogo wake

Kaini siyo mtoto wa Adam ?

Visa vya mauaji ni vingi na miaka hii vimezidi

Just go ...
Biblia gani imeandika?
 
Asante Mthiolojia wengine ni wapotoshaji tu..
Hao wanaitwa kizazi cha nyoka wanawaza mabaya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…