Nilichojifunza kwenye maisha haya ni kwamba ukizisoma amri kumi za Mungu na ukazielewa utakuwa salama duniani na huko utakapoenda baada ya kufa. Barikiwa sana brother mshana.Mauaji ya visasi (kulipa kisasi) ni dhambi ya tatu kuzaliwa duniani
Dhambi ya kwanza ngono na usaliti pale Eden, lakini hii ina mazonge mengi kwakuwa uongo na kutotii maagizo vyote vinaingia hapo! Ni dhambi yenye vipengele A, B C na D
Dhambi ya tatu ni mauaji, ambayo asili yake ni choyo na wivu, pale Kaini alipofanya uchoyo wa kutoa sadaka iliyonona na matokeo yake ikakataliwa.. Ya mdogo wake Abel ilipokelewa na ndipo roho ya chuki ilipomuingia Kaini na kuamua kumuua mdogo wake kwa mama. Adam hakuwa babayake wa damu.
Tangu hapo mkeka wa mauaji ya visasi uliasisiwa ulimwenguni.. Tangia hapo maelfu kwa maelfu wameuawa kwa mauaji ya visasi. Nimekisoma kisa cha kijana wa Songwe aliyeuwawa mbele ya mkewe na mwanae na wauaji wakaondoka bila kuchukua chochote! Visa hivi ni vingi mno na nitasimulia baadhi kadiri ya kumbukumbu zangu, nakukaribisha nawe uungane nami kama kuna chako unakikumbuka!
Maisha haya hutukutanisha na wengi lakini pia na mengi, kuna watu kwa sababu zozote zile wanajiona ya kwamba wao ndio wao na wengine si kitu.
Wao ndio wanastahili kupata
Wao ndio wanastahili maisha mazuri
Wao ndio wanaijua pesa kuliko wengine
Wao ndio wanastahili maisha na vitu vizuri kuliko wengine
Visa hivi vya mauaji ya visasi vina asili moja! Wauaji hawachukui chochote! Visa hivi vyanzo vyake ni
Usaliti wa kibiashara/dili
Usaliti kwenye mapenzi/mahusiano
Harakati za kisiasa na madaraka
Wivu wa maendeleo/kupata kwa wengine
Dhuluma
Utemi
Ubabe nk nk
Kwenye hili kuna wauaji wa kukodi ama baadhi hutekeleza mauaji wenyewe tena kwa taarifa kabla ya kutekeleza mauaji.
Sometimes kwenye haya mambo ukishindwa kusamehe lipa kisasi! Haikuongezei kitu lakini inakupunguzia maumivu! Ila usiijaribu hii njia imejaa mabaya!
Mnamkumbuka yule traffic aliyeuliwa kwa risasi pale sayansi ? Jamaa alikuja na boda akamuuliza Afande unanikumbuka? Jamaa akajibu ndio.
Jibu hilo lilitosha kummininia risasi zilizoondoka na uhai wake
Nitakuja na visa vingine.
Inakuwaje sasa kiumbe kilichoumbwa kwa moto (Lucifer/Malaika) kuwa na na hisia za kibaiolojia hadi atamani kiumbe kilichoumbwa kwa udongo (Binadamu)?Kibiblia "Nyoka'' amekua hivi alivyo baada ya laana. Ila kuna maeneo mengi tu kizazi cha "Nyoka" kinatajwa soma Mwanzo 6, 13, na Injili ya Yuda sura nzima utaona kizazi chake kilipoanzia.
"Nyoka" biblically ana uwezo wa shape shifting kuwa sio tu binadamu ila hata malaika: 2 Wakorintho 11:14.
Chifu jazia nyama tafadhali maana si kila kinachoendelea duniani sote tuwe tunakijua sababu wakati mwingine tunakuwa tuko bize ktk ujenzi wa Taifa [emoji2][emoji2960]Kisa cha saba
Mauaji ya mchina hivi karibuni
Wote mnakikumbuka hiki kisa.. Ni wivu wa mapenzi, aliyeachwa aliwekeza pesa nyingi sana kwa mwanamke! Aliyeuwawa ni mtu tu aliyekuwa kamhifadhi mrembo baada ya kuachana na jamaa yake
Muuaji gari yake ilikutwa Iringa kaitelekeza kando ya barabara.. Alidhamiria kuwaua wote wawili lakini mwanamke akasalimika kimiujiza.. Kuna zawadi ya milion 700 kwa atakayefanikisha kumpata muuaji
Weka hapa hicho kisa Unforgettable, kama Kingsmann kashindwa kukutunza mkulingwa nipo nitakulea kimatunzo tu ila ki-baiolojia ni big NO(utani) [emoji16]umenikumbusha kisa kilichotokea kanda ya ziwa jamaa alieua familia nzima mpk kichanga....inasikitisha na kuogopesha
Mkuu reference ni bible kwa hiyo ukisema ni chai meaning Bible ndio chai sio Mimi nayeleta story kutokea humo.Inakuwaje sasa kiumbe kilichoumbwa kwa moto (Lucifer/Malaika) kuwa na na hisia za kibaiolojia hadi atamani kiumbe kilichoumbwa kwa udongo (Binadamu)?
Inamaana Malaika kabla ya kuasi nao walikuwa wana Humans biological hormones kuratibu gametiume/gametiuke hadi wawe na ashki/nyege za kugegedana na Binadamu?
Mbona kama kamba hii [emoji848][emoji38]
Kuzisoma na kuzielewa ni jambo moja, lakini je, tunapractice?Nilichojifunza kwenye maisha haya ni kwamba kizisoma amri kumi za Mungu na kuzielewa utakuwa salama duniani na huko utakapoenda baada ya kufa. Barikiwa sana brother mshana.
hajui kuwa hata malaika waliwahi shuka duniani na kutembea na wanadamu na kuzaa nao watoto!Mkuu reference ni bible kwa hiyo ukisema ni chai meaning Bible ndio chai sio Mimi nayeleta story kutokea humo.
Bible ipo clear kwamba "Wana wa Mungu" walizaa na hao binadamu na reference ni Mwanzo 6 na hiyo Yuda 1. Ukitaka kuona hili hata uzao wao haukufutika kwa gharika rejea Mwanzo 13 utaona wapo hao watoto wa cross breeding hii.
Kuhusu malaika kuwa na hisia, ndio hoja ya shape shifting inapoingia hao walioasi ni wale walikua "watchers" yaani walipewa jukumu la kuwafunza wanadamu mambo mengi kama kuwinda, kusoma nyota, medicine, engineering n.k sasa mfano wakati wanamtembelea Abraham malaika waliweza hadi kula chakula, walisikia njaa, na hata yule aliyepigana na Yakobo "alichoka" baada ya mpambano wa usiku kucha.
Nachojaribu kusema in reference kwa biblia Ina maana malaika wote waliofanya interaction na binadamu walivaa miili ya kibinadamu hivyo kuchukua character zetu kama vile njaa, kuchoka, na tamaa kama iliyowakuta hao malaika wanaotajwa kwenye Injili ya Yuda.
Yule jamaa wa kipemba. Mshkaji alimwonea sana, gari analo, fedha hajalipa na bado akamuua muuzajiKisa cha tisa
Mauaji ya Ilala! Chanzo dhuluma
Jamaa waliuziana gari, mnunuzi akalipa pesa ya kianzio lakini akashindwa kumaliza
Mwenye gari kila akikumbushia pesa yake jamaa anampiga kalenda
Siku ya siku mdaiwa akamuita mdai wake afike nyumbani kwake Ilala ampatie pesa yake
Jamaa akafika home kwa anayemdai, akakaribishwa vema lakini kufika ndani kumbe mwenzake alikuwa na lake moyoni! Akamuua na kumzika karibu na mashimo ya vyoo kisha akasakafia vema kabisa
Mauaji yalikuja kujulikana miaka takriban mitatu baadae
Sasa mbona mkuu umesema Abel hakuwa mtoto wa ndoa? Na huko unasema Kaini alikuwa mtoto wa ibilisi?Kuchapiwa ni siri ya ndani na ilianzia pale Eden.. Wewe unadhani baada ya Eva kuongopewa na ibilisi(nyoka) na kula 'tunda' la mti wa kati alitoka salama? Adam alikula makombo tuuu...
Kaini ni uzao wa ibilisi na ndio maana hakuona umuhimu wa kutoa sadaka nzuri..
Nimeona mitandaoni kuwa ndio inasikilizwa sasa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo tarehe 15.09.2022 shahidi wa kwanza upande wa Mashtaka alianza kutoa ushahidi wake na kesi ikaahirishwa mpaka kesho yake tarehe 16.09.2022, nafikiri itakuwa inaendelea kusikilizwa au kusubiriwa uamuzi kama mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.Ndio huyo huyo aisee sijui kesi yake imefikia wapi
Asante mkuu jamaa bado yuko mahabusu tangu 2014Nimeona mitandaoni kuwa ndio inasikilizwa sasa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo tarehe 15.09.2022 shahidi wa kwanza upande wa Mashtaka alianza kutoa ushahidi wake na kesi ikaahirishwa mpaka kesho yake tarehe 16.09.2022, nafikiri itakuwa inaendelea kusikilizwa au kusubiriwa uamuzi kama mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.
SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya mauaji inayomkabili Hemed Ali, ameieleza mahakama jinsi mshtakiwa huyo alivyoishi ndani ya nyumba yake na baadaye kupokea taarifa kuwa kuna mtu alifukiwa katika nyumba hiyo na mshtakiwa.Nimeona mitandaoni kuwa ndio inasikilizwa sasa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo tarehe 15.09.2022 shahidi wa kwanza upande wa Mashtaka alianza kutoa ushahidi wake na kesi ikaahirishwa mpaka kesho yake tarehe 16.09.2022, nafikiri itakuwa inaendelea kusikilizwa au kusubiriwa uamuzi kama mtuhumiwa ana kesi ya kujibu.