Mauaji ya mzazi huko mwananyamala

Mauaji ya mzazi huko mwananyamala

Pesa ndo iimtoe uhai baba yake mzazi kwani amepata faida gani sasa? Hayo ndo madhara ya maamuzi ya hasira
 
Taarifa zinazosambaa kukamatwa kwa kijana mmoja huko Mwananyamala kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili ambao ni ndugu zake wa damu akiwemo baba yake mzazi ni za kweli.

Nimefuatilia kwa ukaribu kijana alikuwa akiishi Afrika ya kusini akijishuhurisha na biashara,akiwa huko kila alichokuwa akipata kwa kiasi kikubwa alikuwa akimtumia baba yake mzazi,kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa nyumba yake.

Alianza kutuma pesa za kununua kiwanja na mzee kwa kushirikiana na ndugu yake huyo walithibitisha walinunua kiwanja kumbe si kweli,baada ya muda akatuma fedha kwa ajili ya kuanza ujenzi wa nyumba,na inasemekana kiasi kilichotumwa kilipaswa kuwa kimekamilisha ujenzi wa nyumba kwa zaidi ya 90%.

Katika kipindi chote akiwa huko walikuwa wakimtumia picha na video feki akawa anaamini,sasa kijana karudi baada ya hili vurugu linaloendelea huko la ubaguzi na hajakuta alichotarajia kama walivyomuaminisha.

Baada ya kuhoji mzee wake akawa jeuri kwakutafuta huruma kwakuwa ni mzazi akajibu atakavyo kwa maneno makali kama mimi nimekuzaaa ,nimekulea umenilipa nini?,kijana akajawa na jazba,kumuuliza ndugu yake aliyekuwa wanashirikiana na mzee naye niwakaliba hiyo ndipo kijana akachukua maamuzi magumu.

MY TAKE.
Kuna ujinga fulani wazazi wanaufanya na kutake advantage kwa watoto wao kwakuwa wamewaza.
Hakuna mtoto aliomba mzazi amzae,ni mzazi mwenyewe alizaa kwa matakwa yake,na kulea ni suala la kisheria na niwajibu wake mzazi kulea,na hastaili malipo.

Kuzaa mtoto kwa lengo la kutata aje akusaidie baadae huo ni uzindukaya na fikra za kidwanzi,huyo mtoto atakuwa na familia yake,atahudumia wangapi?.

Wazazi wanatumika kukwamisha watoto wao kwa kujiamulia mambo kisa wazazi ni udwanzi.

kwa sisi vijana tubadili mentality,tuzae pasipokuwa na mategemeo ya watoto kutusaidia kama sheria,mtoto aje atusaidie sababu ya upendo na fahari kwake na sio kwamba sina uwezo wa kujihudumia.

Soma pia Tetesi: - Aliyeua Baba Zake, alikuwa anatuma Pesa akiwa South Africa Wakazitafuna
Hiyo pesa angeiweka benki ili afanye mwenyewe. Mbele ya pesa hakuna anaeaminika. Huyo baba kafanya kosa kubwa. Kosa la kijani ni kuuwa bila kusudia.
 
Kipindi fulani kitambo tu kuna dem rafiki yangu na alikua na mwenzie mmaza hivi.
Wote tulikua walesiska tu na ndio company yetu hivo tu.
Yule dem alikua smart sana mambo ya IT enzi hata mobil mtu akiwa nayo tritel.
Balaa,kapital mchongo katimua US.
Doh kamwachia kila kitu swahiba wake mmaza.
Dem kule kaendelea na ma issue hela zote anamtumia kibibi amjengee nyumba.
Kumbe kile kibibi kinatafuna tu miaka na miaka.
Mimi kimekata kabisa mawasiliano kinajua ningempa umbea yule dem US.
Hayawi pa,dem kanaswa huko wakamdeport.
Aloo,anafika katupwa Airport kaona poa naenda kuchukua funguo za nyumbani kwangu nipumzike.
Alalalaaa kakuta masinema tu hamna nyumba wala chochote.
Hela zote zimeliwa.
Tulikua tunaskizana sana,yaani bila kumshauri kitaratibu hakyanani angeenda kuua tena kikatili sana.
 
Taarifa zinazosambaa kukamatwa kwa kijana mmoja huko Mwananyamala kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili ambao ni ndugu zake wa damu akiwemo baba yake mzazi ni za kweli.

Nimefuatilia kwa ukaribu kijana alikuwa akiishi Afrika ya kusini akijishuhurisha na biashara,akiwa huko kila alichokuwa akipata kwa kiasi kikubwa alikuwa akimtumia baba yake mzazi,kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa nyumba yake.

Alianza kutuma pesa za kununua kiwanja na mzee kwa kushirikiana na ndugu yake huyo walithibitisha walinunua kiwanja kumbe si kweli,baada ya muda akatuma fedha kwa ajili ya kuanza ujenzi wa nyumba,na inasemekana kiasi kilichotumwa kilipaswa kuwa kimekamilisha ujenzi wa nyumba kwa zaidi ya 90%.

Katika kipindi chote akiwa huko walikuwa wakimtumia picha na video feki akawa anaamini,sasa kijana karudi baada ya hili vurugu linaloendelea huko la ubaguzi na hajakuta alichotarajia kama walivyomuaminisha.

Baada ya kuhoji mzee wake akawa jeuri kwakutafuta huruma kwakuwa ni mzazi akajibu atakavyo kwa maneno makali kama mimi nimekuzaaa ,nimekulea umenilipa nini?,kijana akajawa na jazba,kumuuliza ndugu yake aliyekuwa wanashirikiana na mzee naye niwakaliba hiyo ndipo kijana akachukua maamuzi magumu.

MY TAKE.
Kuna ujinga fulani wazazi wanaufanya na kutake advantage kwa watoto wao kwakuwa wamewaza.
Hakuna mtoto aliomba mzazi amzae,ni mzazi mwenyewe alizaa kwa matakwa yake,na kulea ni suala la kisheria na niwajibu wake mzazi kulea,na hastaili malipo.

Kuzaa mtoto kwa lengo la kutata aje akusaidie baadae huo ni uzindukaya na fikra za kidwanzi,huyo mtoto atakuwa na familia yake,atahudumia wangapi?.

Wazazi wanatumika kukwamisha watoto wao kwa kujiamulia mambo kisa wazazi ni udwanzi.

kwa sisi vijana tubadili mentality,tuzae pasipokuwa na mategemeo ya watoto kutusaidia kama sheria,mtoto aje atusaidie sababu ya upendo na fahari kwake na sio kwamba sina uwezo wa kujihudumia.

Soma pia Tetesi: - Aliyeua Baba Zake, alikuwa anatuma Pesa akiwa South Africa Wakazitafuna
Kwa hiyo wewe umeona ni sawa tu alichofanya huyo mvuta bangi kwa wazazi wake?!!
 
mnanichanganya kwahiyo dogo alituma pesa ajengeee au alitaka nyumba ya urithi iuzwe?
Habari imeripotiwa na vyombo mbali mbali vya habari ikiwemo Millard Ayo na Global Publishers, ndugu wanasema huyo mpuuzi alikua anavuta mabangi alirudishwa huko South alikua akiishi na mjomba ake kurudi anadai nyumba ya urithi alipewa na babu yake pia baba ake anampangia sana sheria yeye anataka uhuru, walisumbuana sana hadi akaamua kuwaua.
 
duh hizi bangi za kuvutia chooni ndo zina leta haya madhara,, basi na yeye akafie huko gerezani tu hakuna namna
 
Hii issue inawakuta wengi wanaojitafutia nje ya nchi wakiwatumia ndugu wawafanyie maendeleo, dada mmoja rafiki yangu akiwa nje pia aliondoka akiwa na deni Bank nyumba inataka kuuzwa akafika akajitafuta akaanza kutuma hela ya marejesho kwa mtoto wa dada ake ambaye alimwacha pale nyumbani kwake kama msimamizi, yule binti akawa hadi anamuonesha receipt alizobank heee dada kurudi anaenda Bank kuclear achukue hati anaambiwa bado mlioni tisa (9m) kumuuliza binti hana majibu na akawa anajibu jeuri mnoo kwa upande wangu niliwaza ningekuwa mimi nahisi ningempa ulemavu.
Wadada wengi wanaofanya kazi uarabuni wanalizwa sana na wazazi wao wanatuma hela wakijua watakuta wanachotegemea wakirudi wanakuta hakuna kila kitu yaani wanalalamika saaana
 
Habari imeripotiwa na vyombo mbali mbali vya habari ikiwemo Millard Ayo na Global Publishers, ndugu wanasema huyo mpuuzi alikua anavuta mabangi alirudishwa huko South alikua akiishi na mjomba ake kurudi anadai nyumba ya urithi alipewa na babu yake pia baba ake anampangia sana sheria yeye anataka uhuru, walisumbuana sana hadi akaamua kuwaua.
Sema mashangazi nao wakikuamlia jambo! Ukute baada ya kukuta hakuna walichomfanyia ndiyo akaamua kuwaambia basi nipeni hiyo nyumba kufidishia hela niliyokuwa natuma, wanadamu waache tu kama walivyo maana kama kweli alitaka nyumba ya babu yake mbona asiwadhuru shangazi zake
 
Kwanini mnadhani huyo muhuni alikua ana pesa? mmeshaambiwa alikua anaishia na mjomba ake huko South Africa wakashindwana kwa tabia zake mbovu mjomba akamrudisha Tanzania.... Wabongo mnapenda sana vistory vya kuokoteza badala ya kutafuta taarifa kamili.
 
Na kwanini uamini inawezekana mjukuu anaweza kudai nyumba ya urithi ya babu ilhali baba zake na mashangazi wapo? Kwa vile ni mtuhumiwa tayari tusiangalie upande mmoja na kumuita mhuni, pale msibani kuna baba yule jirani yao anaonekana kuwa na mengi ila kwa busara akasema hatuwezi kusema sana kijana aliyeua ndiyo anajua, na waliotangulia pia ndiyo walikuwa wanajua wa pembeni hatuwezi kusema.
 
Taarifa zinazosambaa kukamatwa kwa kijana mmoja huko Mwananyamala kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili ambao ni ndugu zake wa damu akiwemo baba yake mzazi ni za kweli.

Nimefuatilia kwa ukaribu kijana alikuwa akiishi Afrika ya kusini akijishuhurisha na biashara,akiwa huko kila alichokuwa akipata kwa kiasi kikubwa alikuwa akimtumia baba yake mzazi,kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa nyumba yake.

Alianza kutuma pesa za kununua kiwanja na mzee kwa kushirikiana na ndugu yake huyo walithibitisha walinunua kiwanja kumbe si kweli,baada ya muda akatuma fedha kwa ajili ya kuanza ujenzi wa nyumba,na inasemekana kiasi kilichotumwa kilipaswa kuwa kimekamilisha ujenzi wa nyumba kwa zaidi ya 90%.

Katika kipindi chote akiwa huko walikuwa wakimtumia picha na video feki akawa anaamini,sasa kijana karudi baada ya hili vurugu linaloendelea huko la ubaguzi na hajakuta alichotarajia kama walivyomuaminisha.

Baada ya kuhoji mzee wake akawa jeuri kwakutafuta huruma kwakuwa ni mzazi akajibu atakavyo kwa maneno makali kama mimi nimekuzaaa ,nimekulea umenilipa nini?,kijana akajawa na jazba,kumuuliza ndugu yake aliyekuwa wanashirikiana na mzee naye niwakaliba hiyo ndipo kijana akachukua maamuzi magumu.

MY TAKE.
Kuna ujinga fulani wazazi wanaufanya na kutake advantage kwa watoto wao kwakuwa wamewaza.
Hakuna mtoto aliomba mzazi amzae,ni mzazi mwenyewe alizaa kwa matakwa yake,na kulea ni suala la kisheria na niwajibu wake mzazi kulea,na hastaili malipo.

Kuzaa mtoto kwa lengo la kutata aje akusaidie baadae huo ni uzindukaya na fikra za kidwanzi,huyo mtoto atakuwa na familia yake,atahudumia wangapi?.

Wazazi wanatumika kukwamisha watoto wao kwa kujiamulia mambo kisa wazazi ni udwanzi.

kwa sisi vijana tubadili mentality,tuzae pasipokuwa na mategemeo ya watoto kutusaidia kama sheria,mtoto aje atusaidie sababu ya upendo na fahari kwake na sio kwamba sina uwezo wa kujihudumia.

Soma pia Tetesi: - Aliyeua Baba Zake, alikuwa anatuma Pesa akiwa South Africa Wakazitafuna
Hii taarifa haina uhalisia. Hata mshukiwa mwenyewe ukimuangalia tu kwa macho ya kawaida unagundua hakuwa na hiyo sifa ya kuwa mfanyabiashara aliyetuma pesa na kudhulumiwa na familia yake.
 
Watu wamevurugwa na wanataraji wazazi waendelee kuwalea milele. Tunasema mtoto hawajibiki kumtunza mzazi wake kwa sababu hakuomba kuzaliwa. Ila hatuwaambii watoto ni lini jukumu la wazazi kuwalea watoto linakoma.
 
Ngoja tuendelee kuwasoma tutatapata taarifa sahihi za huyo baharia..
 
Hii taarifa haina uhalisia. Hata mshukiwa mwenyewe ukimuangalia tu kwa macho ya kawaida unagundua hakuwa na hiyo sifa ya kuwa mfanyabiashara aliyetuma pesa na kudhulumiwa na familia yake.
Taarifa ya kwanza wamesema ana miaka 28 ametuma hela kwa miaka 10 mhh hapa ni uongo aisee...
 
Taarifa zinazosambaa kukamatwa kwa kijana mmoja huko Mwananyamala kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili ambao ni ndugu zake wa damu akiwemo baba yake mzazi ni za kweli.

Nimefuatilia kwa ukaribu kijana alikuwa akiishi Afrika ya kusini akijishuhurisha na biashara,akiwa huko kila alichokuwa akipata kwa kiasi kikubwa alikuwa akimtumia baba yake mzazi,kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa nyumba yake.

Alianza kutuma pesa za kununua kiwanja na mzee kwa kushirikiana na ndugu yake huyo walithibitisha walinunua kiwanja kumbe si kweli,baada ya muda akatuma fedha kwa ajili ya kuanza ujenzi wa nyumba,na inasemekana kiasi kilichotumwa kilipaswa kuwa kimekamilisha ujenzi wa nyumba kwa zaidi ya 90%.

Katika kipindi chote akiwa huko walikuwa wakimtumia picha na video feki akawa anaamini,sasa kijana karudi baada ya hili vurugu linaloendelea huko la ubaguzi na hajakuta alichotarajia kama walivyomuaminisha.

Baada ya kuhoji mzee wake akawa jeuri kwakutafuta huruma kwakuwa ni mzazi akajibu atakavyo kwa maneno makali kama mimi nimekuzaaa ,nimekulea umenilipa nini?,kijana akajawa na jazba,kumuuliza ndugu yake aliyekuwa wanashirikiana na mzee naye niwakaliba hiyo ndipo kijana akachukua maamuzi magumu.

MY TAKE.
Kuna ujinga fulani wazazi wanaufanya na kutake advantage kwa watoto wao kwakuwa wamewaza.
Hakuna mtoto aliomba mzazi amzae,ni mzazi mwenyewe alizaa kwa matakwa yake,na kulea ni suala la kisheria na niwajibu wake mzazi kulea,na hastaili malipo.

Kuzaa mtoto kwa lengo la kutata aje akusaidie baadae huo ni uzindukaya na fikra za kidwanzi,huyo mtoto atakuwa na familia yake,atahudumia wangapi?.

Wazazi wanatumika kukwamisha watoto wao kwa kujiamulia mambo kisa wazazi ni udwanzi.

kwa sisi vijana tubadili mentality,tuzae pasipokuwa na mategemeo ya watoto kutusaidia kama sheria,mtoto aje atusaidie sababu ya upendo na fahari kwake na sio kwamba sina uwezo wa kujihudumia.

Soma pia Tetesi: - Aliyeua Baba Zake, alikuwa anatuma Pesa akiwa South Africa Wakazitafuna
Huyu asiachiwe, ni muuaji, angeweza kuwashtaki.
 
Hii taarifa haina uhalisia. Hata mshukiwa mwenyewe ukimuangalia tu kwa macho ya kawaida unagundua hakuwa na hiyo sifa ya kuwa mfanyabiashara aliyetuma pesa na kudhulumiwa na familia yake.
Kumbe wafanyabiashara wenye ukwasi wanaonekana kwa kuwatazama wote?
 
Back
Top Bottom