Mauaji ya mwandishi kashoggi turkey. kazi za kuajiriwa sio.. wauaji wanarukwa na ma bosi wao

kosa la 3 na kubwa sana.. hawakukumbuka kama majirani wanaweza wakawa na cctv.. wao waliondoa hard disk kwwnyw cctv za ubalozini tu.. cctv za majirani zina kila taarifa ya nje ya ubalozi.. kuanzia wanaingia , kashogi anaingia wanazo.. na wanapotoka nje

Makosa mawili makubwa ambayo aliyafanya huyo Body Double Agent ni kutokuvaa viatu vya Kashoggi(huenda alisahau au havikumtosha),pia kudharau au kushindwa kubadili suala la mwonekano wa nywele za kichwani.

Hili jambo acha tuone mwisho wake.
 
Wamelikosea sana taifa lao hadi limeingia kwenye mgogoro mkubwa kiasi hicho, na tena hawajaitumia vyema taaluma yao ambayo taifa liliingia gharama kubwa kuwasomesha na kuwaendeleza kimbinu kwa maslahi ya taifa. Wanastahili adhabu ya kifo kwa uzembe wao na hicho ndicho kiapo cha kazi ya shushushu.
Kama ni mashushushu basi ni mashushushu ''kanjanja''. Professional Shushushu ni lazima angeangalia all possible angles kabla ya kufanya hilo tukio. Angefikiria kuhusu madhara ya uacha traces pamoja na uwepo wa technology. Asingefanya walichofanya wale wajinga.

Inawezekana wale ni wale wale wajinga, wanaotumwa pasipo kujua wakifanyacho. Mwishowe unakimbilia kung'oa photo camera mabayo zinauwezo wa kupiga picha chini na uvunguni.

Shubamiti
 
Ila hii dunia ya ajabu sana aiseee,Allah awafanyie subra ndugu wote wa marehemu.
 
Wamelikosea sana taifa lao hadi limeingia kwenye mgogoro mkubwa kiasi hicho, na tena hawajaitumia vyema taaluma yao ambayo taifa liliingia gharama kubwa kuwasomesha na kuwaendeleza kimbinu kwa maslahi ya taifa. Wanastahili adhabu ya kifo kwa uzembe wao na hicho ndicho kiapo cha kazi ya shushushu.
Taifa la Wajinga limejikosea lenyewe, na litajiangamiza lenyewe kwa kukosa utu.
 
Hizi kazi za ushushushu ni za hatari sana unatakiwa usimwamini mtu yoyote, even boss wako na always uwe na backup plan.
 
Back
Top Bottom