Mauaji ya kutisha posta asubuhi hii

Mauaji ya kutisha posta asubuhi hii

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,941
Reaction score
3,262
Mtu mmoja amejiua na kukimbia hapa posta polisi bado wanamtafuta

update to come..............
 
Sasa afande ni mauaji au mtu kajiua??
 
Mtu mmoja amejiua...? You aint be serious

yaani hata mimi nimeshangaa sana naona maajabu na katika umri wa wa takribani karne 6 sijawai kuona haya niliyoyaona leo
 
Mkuu umeingia kny trap! Atajiuaje halafu akimbie!

hapo ndipo tunaposhangaa mkuu ila kuna wamama wanaouza chakula wanadai ni mambo ya kishirikina kajiua alafu kafufuka na kukimbia
 
Back
Top Bottom