Heheheheheeheheheheheheeeeee!!!!!!!!!
Acheni nicheke mieeeeeee!!!!!!
JF tuna tabia ya kukimbia hata kivuli chetu. Leo tunaka picha ya marehemu mtu aliyekufa kwa kunyongwa.
Yaani hata wiki haijaisha hapa hapa tulilaani kitendo cha kuweka picha ya marehemu SHARO MILLIONEA!!!!!
Au kuna ubaguzi kwamba za mastaa zisiwekwe lakini sisi walalahoi ndipo tuanikwe hadharani katika mitandao.
JAMANI MBAVU ZANGU MNAZIVUNJA KWA KICHEKO Cha HUZUNI!!!!
ANGALIENI MWILI Huu HATA HAMUNIONEI HURUMA KUCHEKA SANA!!!!
View attachment 73685
MIZAMBWA
INANIUMA SANa!!!
mawe naweza kuamini na some cash but not 600m...hivi unajua volume yake kwa noti za elfu kumikumi?jamaa aliluwa meli wa hatari..yani alikuwa anawakopeshaga wale wa maasai wenye mashimo na landcruiser..jamaa wanahasira mpaka basi..jana hadi OLE SENDEKA alikuwa kwenye kikao chao..wamekazaje sura..ukibonga mbovu utakula risasi mpaka basi..jamaa inasemekana alikuwa na mwanamke kama wakikenya
..kapigwa kitu kama billion hivi kwasabu alikuwa na cash kama m600 na mawe..
Unahisi huyo anajua Online banking? nimegundua bank ni wezi tu bora ukae na hela zako nyumbani basi!
unapofanya biashara ya madini hela huwa unalipwa muda wowote iwe mchana au usiku .hakuna kuaminiana kutokana na jiwe umepata muda gani ,tatizo hutokea pale wengine wanajua nini unachofuatilia hapo njama zinaanza za kukupora pesa
au uhai wafanikishe wanachotaka ..
hata mimi ningefanya vivo hvyo m mia 6 af unazurura nazo?wat kibao wamepgka af analeta magumash hawa wezi tu
Amani???
Ukiwa tajiri hamna amani, ukiwa masikini hamna amani.
Ukitaka amani ya kweli Mpe YESU maisha yako
tutaaminije hii habari.....hakuna picha....?
Hivi M600 inajaa kwenye begi la ukubwa gani? kwa noti za 10,000? naona hapa ni hadithi au? kama kweli basi bado tuna ulimbukeni wa kutisha.
mimi ninayeuza nina haki ya kusema tukalipiane bank au sehemu nyingine na mda ninaotaka kutokana na mazingiya ya kiusalama ntakavyoyaona.
nafikri upeo wao mdogo tu ndio maana hayo majanga yanawakuta