Mauaji ya kigaidi Kenya

Status
Not open for further replies.
Your idea has been ringing in my mind for quite sometimes. I wonder why moslem never condem terrorist attack conducted in the name of ala? Instead they cheers and congratulates even if their fellow moslem are among the dead and casualities. I think the world need a special brain de-wash of moslem.
 
Aisee nakubaliana na wewe. Nina rafiki zangu waislam tunapendana sana, na tena wakati mwingine kama kachelewa masjid akiwa home kwangu basi nampatia mkeka anaswali zake.
 
Chinja,ua,jilipue uende mbinguni ukafaidi maisha...hiki kitabu jaman ptuuuu!!
 

Jenkins: Bible Far More Violent than Qur'an | Informed Comment

| Top Christian Scholar: The Bible is More Violent Than the Koran
 
tatizo ya haya mambo,ni pale kundi moja kujiona bora kuliko lingine au kundi moja kujiona linalinyimwa haki,waislam kilio chao kila siku wanadai haki haki haki,haki haiwezi kupatikana kwa kuwaangamiza wakristo au kufuta ukristo duniani,leo hii wachungaji wanapigwa risasi wanamwagiwa tindikali lakini wakristo wanashuka chini wanapiga goti na kumuomba mungu,sheikh ponda alipigwa risasi tena sio kwa kisasi cha wakristo,ni issue zake na bakwata,tz ili shake sana,hakika tunakoelekea si kuzuri.Ole wenu mchangie comment yangu kwa matusi!!
 

sokwe na mauaji yanayofanywa na waisrael kule palestine nayo yanafata agano jipya au la kale,,,nahis una undugu na bwana Ma-sir-buri
 
Last edited by a moderator:

na marekan haiwez kuish bila kuyashambulia mataifa ya KIISLAM???
 
Aisee nakubaliana na wewe. Nina rafiki zangu waislam tunapendana sana, na tena wakati mwingine kama kachelewa masjid akiwa home kwangu basi nampatia mkeka anaswali zake.

mashallah Mudawote wewe ndo umeongea hoja maridhawa,uislam haujasema wasio waislam wauawe,nadhan kwakua sokwe si muislam na hajui kitabu kinasemaje basi anakishambulia kitabu cha waislam,
Yeyote anayeusumbua uislam hata kama muislam hapo ndo atakua anatafuta ubaya kwa waislam,
sokwe si vibaya ukausoma uislam kabla ya kuushambulia na kuwashambulia waislam
 
Last edited by a moderator:
Wa Kenya wana kihere here sana..they deserve what they got

Kweli mkuu???? ??… I think your statement is somehow inhuman. Innocent people were killed, including foreigners waliokuwepo kwenye hiyo mall.. Na hata kama wakenya wana kiherehere as u say, is it fair to kill them??? Kwanini wasitafute njia ingne mbadala ya kusolve in a diplomatic manner.... ??? ...
 

by the time USA attacked IRAQ,the US forces killed christian too,does
the US need a special wash???
 

Mudawote misikitini hoja kuu siku zote ni upendo,labda kwakua ww si muingiaji wa masjidi,tembelea msikiti wowote hasa siku za ijumaa,usikie wanazungumzia nini??
 
Last edited by a moderator:
Nasema tena sina matatizo na waislamu. Nina mashaka makubwa na mafundisho kwenye kitabu chenu, pamoja na kwamba mpo 1.3 billion Muslims lakini mnasema mnaonewa na hii sio ilianza Jana au juzi ni tangu vita alivyokuwa anapigana Muhammad! Ustaarabu walionao waislamu wengi sio kutokana na mafundisho ya kitabu chenu. Ni utashi wa kibinadam waliostaarabika, wanayofanya al Qaida, boko haram, al shabab ni mafundisho kwenye kitabu chenu, mtu yoyote atakayesoma sana kitabu chenu lazima ataishia kuwa na chuki hata kuua wasio amini.
 
Wapo wanaojaribu kuwaonya waislamu wenzao wanaishiwa kuuawa au kumwagia tindikali lakini huwezi kuona ktk ukristo watu wakipingana na kuuana, mlisema wamarekani waondoke Iraq mpaka Leo hii mnauana Sunni na Shia, Syria na misri ni hivyo hivyo. Yugoslavia wakati waislamu wanauliwa ni wamarekani hao hao mnaowaita makafir waliokwenda kuwakomboa ndugu zenu hakuna hata taifa moja la kiislam lilokwenda kusaidia! Mpaka mkafanikiwa kujitenga, wamarekani hao hao ndio wanawapigania Chechnya wajitenge kutoka urusi.
 

Mauaji yalo tokea ni ya husuni na kusikitisha kila mtu ameguswa awe mgalatia au muislam
Waliipata ile dhahma ni wakenya wote
Msikiti haifundishi hayo yanayotokea hapa kuna bifu kati ya kenya na al shaabab ambao ni kundi linalopigana somali kutwaa madaraka ni nchi yao wenyewe
Kenya walivamia somali hivo haya ni yao wenyewe .magimvi yao ya kusiasa na udhibiti wa nchi jirani kinguvu haina uhusiano ma mlimani city na tanzania
Kuna msemo mtoto akililia wembe mpee
Njia nzuri ambayo kenya wangetumia kwa vile ina raia wengi wa kisomalii ilikua ni mwzungumzo na kuwaweka pamoja makundi yote ya somali bila ya kujali itikadi zao lakini njia ya mavamizi kwao sio nzuri kwani walienda kule kulipiga kundi hili ni kosa kama ambalo us amefanya Afghanistan
Miaka 12 sasa wamo ndani ya tope zito
Dunia hiiii ina matatizo mengi na magomvi lakini pale ambapo suluhu hutafutwa kwa njia ya amani na mwzungumzo basi matumaini yanapatikana lakini nguvu siku zote hsiwezi kuleta suluhu
Kwa hio hili sio suala la dini ila magomvi na uvamizi na vita na kisasi
Zile siasa za nchi zisizofungamana na upande wowote zilizoasisiwa na kina Mwalimu Nyerere bado ndio zinatufaa ...tuachane na siasa za ama uko na mimi au na osama.....hizo zinajenga chuki tu.
 

Deadliest wars in human history
DEATHTOLL

 
Haya mada ifungwe Moderator njoeni mfanye yenu maana uzi utaleta ugomvi
 
Last edited by a moderator:
it is such a sad story...pole nyingi kwa wakenya na watu wote waliozaa hao wauwaji...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…