Waingereza wanapenda kuiita Kenya 'the most stable nation in eastern Africa'. I'm sue they are eating their words now.Maana hata tv zimefungiwa kutangaza yanayojiri.mimi kwangu i get KBC na NTV zote sasa hivi zinaoyesha news za CNN,the same thing happened in Pakistan and the whole world condemmened it.Kama haya yangetokea Tanzania,ungeona hizo kelele.Yanayotokea Kenya huwezi kulinganisha na yaliyotokea Zanzibar.Watu wamechomwa moto kanisani,tena watoto wadogo!200 plus have died.
Lakini on the whole,labda kuna kitu tunaki overlook hapa.Huyu Kibaki kwenye uchaguzi kabla ya huu,alikuwa ni mpinzani,na alipigiwa debe na wapinzani hata huku.Baada ya kushinda sasa tunaona yanatokea yaleyale,nae anaiba kura!Kwa hio huu ni ugonjwa inaelekea upo once mtu akiwa madarakani.Is there a lesson to be learnt here? Hao CCM,rafiki zao Kenya ni KANU,hata kule Dodoma waliwaalika,pamoja na kwamba ni chama cha upinzani,je wapinzani hapa Kibaki ni mwenzao aliyewatangulia kushika madaraka au urafiki ni lazima wawe wapinzani pia?
Ni mtazamo wangu tu