engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
hahahahaWasemavyo majirani ni kwamba dada alikubali kutoa pesa kiutulivu ila kwa sababu ya uoga akateleza akaanguka sasa hapo ndo jambazi likadhani ndivyo sivyo likamshoot huyo dada.
Ila ki ukweli silaha ambazo hazina kibali na zenye kibali zimekua nyingi sana hapa arusha, juzi mitaa ya Unga LTD kuna mtoto wa form one kateka mishkaki mitano kutoka kwa muuza chips kwa kutumia bastola.
Wadau nipo hapa ndani ya hospitali ya Mount Meru dakika hii na nikashuhudia Landrover ya police ikimteremsha marehemu na kwa kuwa bado nipo hapa bila shaka nitawajuza kichotokea na ni wapi yalikotokea mauaji haya ila kwa haraka tu nimepata hbr ya kwmb amevamiwa na majambazi.
Hapa nimemwona Kaimu kamanda wa polisi hapa Arusha Ali Mpwapwa amekuja hapa na bila shaka ni kuja kudhibitisha haya kama ni kweli na namwona ameingia humu ndani na amerudi ktk gari aina ya Landrover S/ Wagon aliyekuja naye na bila shaka ameshadhibitisha na ameshang'oa tayari na hata hii landrover iliyomleta marehemu inaondoka tayari.
Nitawajuza wadau!
Wasemavyo majirani ni kwamba dada alikubali kutoa pesa kiutulivu ila kwa sababu ya uoga akateleza akaanguka sasa hapo ndo jambazi likadhani ndivyo sivyo likamshoot huyo dada.

You must be joking.... Lol
Kuna dada ana miliki duka la dawa maeneo ya sinoni karibu na shule ya msingi themi,masaa mawili yaliyopita dada uyo kapigwa bastola ya paji la uso na kupoteza maisha akiwa ktk duka la dawa na wezi hao wameiba like one million ambayo ilikua ni ya huduma ya M-PESA iliyokua inatolewa ktk duka hilo la dawa.
Sasa sina hakika ndo mwili uwo ama laa, endelea kudadisi hapo.
Wajibu wa kulinda maisha ya watu na mali zao ni wajamii nzima, Polisi ni wawezeshaji tu.Mm bado napata wasiwasi kama wezi wateka nduka la mtu mchana kweupe na Kibastora kisha wanaondoka na kutokomea bila hata kupigiwa kilele.Hiyo jamii inayozunguka mitaa hiyo iko wapi?Jamani tushikamane kuzuia umwagaji damu wa aina hii.Pole sana kwa wafiwa😛oa
Wasemavyo majirani ni kwamba dada alikubali kutoa pesa kiutulivu ila kwa sababu ya uoga akateleza akaanguka sasa hapo ndo jambazi likadhani ndivyo sivyo likamshoot huyo dada.
Ila ki ukweli silaha ambazo hazina kibali na zenye kibali zimekua nyingi sana hapa arusha, juzi mitaa ya Unga LTD kuna mtoto wa form one kateka mishkaki mitano kutoka kwa muuza chips kwa kutumia bastola.
Juzi mtoto wa jirani yangu amekutwa anachezea risasi 16 na pingu alivyookota vikiwa vimesundwa kwenye shamba na mtu ambaye hajajulikana mpaka sasa, vibaka wadogo sana wanamiliki hizi pachacha ambazo hazina kibali.You must be joking.... Lol
Aliyeuawa ni MUME wa huyo dada. Kuna utata mwingi kuhusiana na kifo cha huyu ndugu!
Mkuu hii habari inakanganya sana..wengine wanasema ni mke, wengine wanasema ni mume, pia wapo wanaosema wote mke na mume. bado kuna utata kwenye hizi habari wakuu