LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,388
Kuna dada ana miliki duka la dawa maeneo ya sinoni karibu na shule ya msingi themi,masaa mawili yaliyopita dada uyo kapigwa bastola ya paji la uso na kupoteza maisha akiwa ktk duka la dawa na wezi hao wameiba like one million ambayo ilikua ni ya huduma ya M-PESA iliyokua inatolewa ktk duka hilo la dawa.
Sasa sina hakika ndo mwili uwo ama laa, endelea kudadisi hapo.

preta unaweza kulisaidia jeshi la polisi hapo kwenye red....lolyah...hii ilikuwa live bila chenga.......mbaya zaidi ilikuwa saa mbili kasoro madakika kadhaa usiku.......r.i.p marehemu..
Wasemavyo majirani ni kwamba dada alikubali kutoa pesa kiutulivu ila kwa sababu ya uoga akateleza akaanguka sasa hapo ndo jambazi likadhani ndivyo sivyo likamshoot huyo dada.Wakuu huu mi siamini kama ni 1m tu ndo ilifanya wamtoe roho,
Ukiingia nyuma ya pazia utakuta labda alikuwa anatoka na mume wa mtu, siku hizi Arachuga ni mambo ya visasi hasa mapenzi ukitembea na mume/mke wa mtu ndo mambo yake hayo...unatumiwa tu vijana wa ngalelo babake kwishney.
Dhaa! Mungu mlaze mahali pema peponi marehemu.
You must be joking.... LolWasemavyo majirani ni kwamba dada alikubali kutoa pesa kiutulivu ila kwa sababu ya uoga akateleza akaanguka sasa hapo ndo jambazi likadhani ndivyo sivyo likamshoot huyo dada.
Ila ki ukweli silaha ambazo hazina kibali na zenye kibali zimekua nyingi sana hapa arusha, juzi mitaa ya Unga LTD kuna mtoto wa form one kateka mishkaki mitano kutoka kwa muuza chips kwa kutumia bastola.
preta unaweza kulisaidia jeshi la polisi hapo kwenye red....lol
....juzi mitaa ya Unga LTD kuna mtoto wa form one kateka mishkaki mitano kutoka kwa muuza chips kwa kutumia bastola.
ina maana ndio nitakuwa nimepata ajira poshti......?
hahahahaha....sawa wewe jidai umepindaina maana ndio nitakuwa nimepata ajira poshti......?
Mkuu hii kali lakini kwa Arusha yote yanawezekana....lakini usikute ilikuwa toyjuzi mitaa ya Unga LTD kuna mtoto wa form one kateka mishkaki mitano kutoka kwa muuza chips kwa kutumia bastola.
Naona aliamua kuchekesha....Hicho unachofikiria ni kosa kubwa. Ukisikia mtu anasaidia polisi usidhani anavalishwa gwanda halafu anaingia kazini! Ni kwata mbinyo na vichapo!