Heshima mbele kaka. Naona unajisifia killings enh!! Ya mwanadamu mwenzako. Na kusema serikali inashindwa kulinda proffesisionals as if watanzania wengi ambao si professionals kwao ulinzi si stahiki. Haya ni mambo ya kibinafsi saana. Kama watu wangekuwa wanauwa nadhani asingebaki mtu. Wale madaktari wanaoiba muda wa mwajiri na kufanya mambo yao, wanaoiba dawa, rushwa nk. Huwezi kukaa na kuandika kuusia killings, I am sure sio wewe, something is wrong somewhere.
Sio mwanafunzi, alikua ni mwizi alitaka kuiba laptop kwenye chumba cha binti mmoja hivi, lakini yule binti alishituka na kupiga kelele, hata hivyo jamaa alikimbia na kujificha.
Alipotafutwa alikosekana, zikatolewa taarifa kwa walinzi wa getini, hali alipokua shwari jamaa alitoka mafichoni na kujaribu kutoka, ndipo alipokamatwa na kupigwa adi kifo.
Thank you Guyton (hili likitabu linanikumbusha mbali sana... i hope umetumia kinunda vizuri
thank sana kwa taarifa, ukweli ni kwamba muhimbili university imekua victim sana wa wizi... nakumbuka in teh nineties wakati tunasoma pale tulikua tunaibiwa sana tukachoka na kutandika vibaka, in one year about 8 were killed and others we decapitated (au lkulemaa mawodini) hadi wakatukoma
ushauri wangu ni kwamba ... serikali imeshindwa kulinda noble profesionals, fanyeni mnachoweza kujilinda kuna siku watawaelwa
Domo Zege, no wonder umechagua hili jina, usiwe na hasira lakini maana taarifa zaidi utazipata tuu humu humu, mimi nina uhakika na taarifa hii sema nimekosa taarifa zaidi kwa haraka kutokana na namna nilivyozipata.
Nimeshuhudia yule kijana akila kichapo !! Wakati anapigwa alikuwa anataja jina fulani kuwa ndiye wanampelekea hizo Laptop, na akawa anasema zipo nyingi tu huko. So baaad kama alikuja kufa baadae, he has gone with very important information!!.
hahha!! Naona mshkaji wako kapotea kitaa sio?oya- dogo mwenyewe ni yule kibonge mweusi?
mwana anaweza kukujibuoya- dogo mwenyewe ni yule kibonge mweusi?
nimeshuhudia yule kijana akila kichapo !! Wakati anapigwa alikuwa anataja jina fulani kuwa ndiye wanampelekea hizo laptop, na akawa anasema zipo nyingi tu huko. So baaad kama alikuja kufa baadae, he has gone with very important information!!.
hahha!! Naona mshkaji wako kapotea kitaa sio?
Man ukiwa na shida sana usifuate nyayo zake tuwe tunatumiana pm tupeane madili ana michongo , laptop bei yake haizidi hadi milioni mbili
Hamna bob, unajua mi nimesoma Azania 2008/10. Sasa kuna msela flani alikuwa anajifanza denti wa Tambaza ECA, alikuwa anakuja kusoma Forest Azania. Cha ajabu sikuwahi kumwona na sare, afu tulivyowauliza wana wa Tambaza wakashangaa kwani wao walijua mwana anasoma kwetu. Kupeleleza zaidi ikasemekana mwana yuko long tyme anavunga wakusoma, sasa na hii stori kama namhisi hivi....
Ha ha haa!! Hamna, huyo siyo, yeye ni mweusi lakini siyo kibonge. Ila inaonesha ni mwenyeji wa maeneo ya arround upanga, kitu kama hicho. Na alikuwa anaclaim kuwa laptop walikuwa wakizipeleka maeneo ya bakhresa pale baada ya fire. Anyway, mimi sikupata information nyingi, nilikuwa nawahi wodini!! Kuattend majeruhi wengine kama yeye, nikajaribu kusikilizia kama angeletwa in vain!! Mpaka nikapata habari kuwa alikuja kufariki, so sobbing!!
Ha ha haa!! Hamna, huyo siyo, yeye ni mweusi lakini siyo kibonge. Ila inaonesha ni mwenyeji wa maeneo ya arround upanga, kitu kama hicho. Na alikuwa anaclaim kuwa laptop walikuwa wakizipeleka maeneo ya bakhresa pale baada ya fire. Anyway, mimi sikupata information nyingi, nilikuwa nawahi wodini!! Kuattend majeruhi wengine kama yeye, nikajaribu kusikilizia kama angeletwa in vain!! Mpaka nikapata habari kuwa alikuja kufariki, so sobbing!!