Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,348
maskini kijana wa watu hakupewa 2nd chance .. ingekuwa katika nchi zenye sheria za kiislam angekatwa kiganja tu.. ile amputation ina hekima kubwa sana... bongo wezi wanapigwa kiberiti watu hawalii haki za binaadamu, nchi za kiislamu anafanyiwa simple kiganja amputation watu wanalia haki za binaadamu.
Dakitari, dakitari! Ndo kujivua gamba ulikotangaza wiki iliyopita? Kuna haja gani ya kusema umejitoa jukwaa la deen halafu unayaleta uliyoyakimbia kwenye umma. Angalia matokeo yake, Rev nae amejibu mapigo, halafu jukwaa litaingiliwa na kina Gavana, Schmidt sijui Mgen na wengine! Dakitari bado unalo gamba, livue au urudi ulikotoka!