Maua haya ni hatari sana

Sipendi maua yalikuwa yanamtesa sana mtoto wangu akiwa mdogo akipita jirani na maua siku hiyo halali anawashwa, vipele. Mie kwangu huwa sina ht shina moja.
 
Ngoja watafiti wetu wayafanyie kazi wao ndy watupe ukweli

Ova
 
Ni hatari kuliko nyoka mbona tuna fuga nyoka!
 
Acheni upuuzi...

Ningeona wa maana kama ungesema yame-contain sumu gani...? Nani kathibitisha...? Je! Baraza la Mazingira la Taifa mbona halijatoa taarifa angali hayo maua yapo kila mahali..

Ingekuwa threaten kiasi hicho ningeshangaa baraza la mazingira kukaa kimya....

Haya ni yale yale ya "kidudu mtu"...kwenye mboga
 
Inachukua dakika 1 tu kuandoka dunian kwa uwezo wake alah. Nyie ndo mnafanya kuwepo na ongezeko kubwa la watu wasioamin uwepo Wa mungu.

Kwa hiyo huyo Allah ndo muuaji wala siyo hayo maua
 
"let them eat brother since the richman is not yet to die a litle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…