Matusi ya mke yamenikimbiza nyumba

Matusi ya mke yamenikimbiza nyumba

Wanajf tafadhali msaada wenu nina rafiki yangu ameoa toka 2oo9 na ana watoto watatu ila hawajabariki ndoa na labda niseme hivi 2009 ndo walianza ishi pamoja ila kabla ya hapo walikuwa na mahusiano miaka mitano nyuma yaani walianza mahusiano 2004. sASA ISSUE NI KWAMBA ANALALAMIKA SANA MKE HUYU AMEKUW AKIMTUKANA NA SIKU NYINGINE KUMPIGA NA HATA KUMFUKUZA CHUMBANI NA AMEJARIBU KUMSIHI AACHE TABIA HIYO NA ANAKIRI HATORUDIA ILA BAADA YA MWEZI MMOJA AU WIKI 2 SHIDA INARUDIA PALEPALE NA ANADAI TABIA HIYO AMEIANZA TOKA 2007 NA ANA KIBURI BALAA NA SIKU NYINGINE ANATISHIA KUJIUA SASA JAMAA JANA KALALA KWANGU JANA KWA KUDAI KAFUKUZWA NDANI NA MKEWE HUYO ILA BAADA YA MDA WA MASAA MAWILI TOKA AJE CHUMBANI KWANGU MKEWE HUYO KAJA NA KUMCHOMOA KWA KUMFUTIA CHUMBANI KWAO BAADA YA MDA JAMAA KAJA NIAGA ANAENDA LALA GESTI NA ANANIOMBA USHAURI AMUACHEJE MKEWE ILI HALI NA WATOTO HAO NIMEMUHAIDI LEO JIONI NITAMPA JIBU BILA YA KUJUA NITAMPA JIBU GANI SO PLZ NISAIDIENI USHAURI WA BUSARA
we usitudanganye bana wewe ndio muhusika mkuu sema unaona aibu kudundwa na mkeo cheki heading yako,hama hapo kwa mkeo tatizo we mario,motema na ngai
 
Kwani nyumba ya mke au ya mume? Huyo mume Hana kazi anategemea mke? Na anae taka kujiua hasemi sasa Kama kweli rafiki yako kakerwa na hii tabia ajipange huyo mkee hamuwezi tena.... Yy ndio kawa mke ....
 
kinachomsumbua huyu ndugu yangu ni watoto na mahusiano yalipoanza toka 2oo4 hadi leo 2o14 hayo nDO YANAYOMPA SHIDA TABU NA MANYNYASIKO HUYU JAMAA MPENI USHAURI NAMNA YA KUFANYA AACHANE NAE AU WAENDELEE AU AFANYEJE JAMANI JAMAA ANATIA HURUMA
Kama kuna watu wagumu kushauri basi ni wanandoa . Anaweza kukueleza yote magumu anayokabiliana nayo na wewe ukaona hana haja ya kuendelea kuishi jehanamu lkn utakachokiona baada ya ushauri wako utatamani kujichimbia shimo au utapigwa na butwaa. So wanandoa unapaswa kuwasikiliza tu wao wanataka nini then unakazia kwenye maamuzi yao na kuonyesha kuwa umewaelewa na unaafiki mawazo yao full-stop.
 
mh..yan nachukia wanaume wadhaifu inakuaje mwanamke anakupiga jaman hata km mapenz hapana
 
Kenya kuna chama cha wanaume wanaopigwa na wake zao; mwambie aombe uanachama.
 
Kama kuna watu wagumu kushauri basi ni wanandoa . Anaweza kukueleza yote magumu anayokabiliana nayo na wewe ukaona hana haja ya kuendelea kuishi jehanamu lkn utakachokiona baada ya ushauri wako utatamani kujichimbia shimo au utapigwa na butwaa. So wanandoa unapaswa kuwasikiliza tu wao wanataka nini then unakazia kwenye maamuzi yao na kuonyesha kuwa umewaelewa na unaafiki mawazo yao full-stop.

Mkuu nakuunga mkono kwa asilimia 100,hata wakipigana usiamue we ondoka tuu,niliwahi kumuamua jamaa akimtwanga mke wake,na alimuumiza vibaya na kioo usoni

Baadaye wakatengana kwa miezi miwili,baada ya hapo wakarudiana kisha wakaacha hata kunisalimia na jamaa alinisendia msg kuniuliza nilimwokoa mke wake kama nani kwangu ,mpk leo hata salamu hakuna!!! Ila nasikia wameachana tena,na walihama....take care mkuu!!!
 
we usitudanganye bana wewe ndio muhusika mkuu sema unaona aibu kudundwa na mkeo cheki heading yako,hama hapo kwa mkeo tatizo we mario,motema na ngai

sawa lakini ujumbe umefika na jamaa nimempa kasoma yote leo keso kadai atanipa jibu
 
Kwani nyumba ya mke au ya mume? Huyo mume Hana kazi anategemea mke? Na anae taka kujiua hasemi sasa Kama kweli rafiki yako kakerwa na hii tabia ajipange huyo mkee hamuwezi tena.... Yy ndio kawa mke ....

wote wako hapo na kazi nzuri tu
 
Mkuu nakuunga mkono kwa asilimia 100,hata wakipigana usiamue we ondoka tuu,niliwahi kumuamua jamaa akimtwanga mke wake,na alimuumiza vibaya na kioo usoni

Baadaye wakatengana kwa miezi miwili,baada ya hapo wakarudiana kisha wakaacha hata kunisalimia na jamaa alinisendia msg kuniuliza nilimwokoa mke wake kama nani kwangu ,mpk leo hata salamu hakuna!!! Ila nasikia wameachana tena,na walihama....take care mkuu!!!

ni kweli but watu kana wanandoa hawashauriwi au mi nathani is better 2 tell he or she what u think about their missundrestandng bila woga .aCHA KUKARIRI MAMBO WEWE
 
ni kweli but watu kana wanandoa hawashauriwi au mi nathani is better 2 tell he or she what u think about their missundrestandng bila woga .aCHA KUKARIRI MAMBO WEWE

Sijakuelewa,kwahiyo unashauri wanandoa washauriwe au wasishauriwe? Kwasababu umesupport kuwa wasishauriwe

At the same time umesema unadhani its better to tell each of them (he/she)abt their misunderstanding. Which one should we take mkuu???
 
Swala la kuongeza mke ni kuwa tuu muislamu au na kuwa na uwezo wa kuwatunza wakeze wote?

hilo ndo tatizo la wtz NDO MAANA TUNATAWALIWA BAADALA YA KUONGOZWA

TUNAKARIRI SANA VITU HATUTUMII BONGO ZETU KUFIKIRI MAMBO YAANI KAMA MTZ ALISIKIA BABU YAKE AKISEMA HIKI NDO PERFECT YEYE NAYR ATAKARIRI VIVO HIVO NA KUMPA NA MWANAE. SHAME ON US
 
Back
Top Bottom