Matusi ya mke yamenikimbiza nyumba

Matusi ya mke yamenikimbiza nyumba

Hata nikilewa chakari mwanamke hawezi thubutu kuninyanyulia mdomo au mkono hata kama gauni lake linafunika Hilux.
 
Huyo mke wake atakuwa siyo mzima kuchwani( kichaa) ampeleke hospital kabla ttzo halijawa kubwa
 
ndio matatizo ya kukutana 'kwamnyamani'', mnaanzisha familia hamna hata anayejulikana home...!
 
Hivi inakuwaje/inaanzaje mkeo/hawara kukugeuza ngoma? Mbaya zaidi hujui ufanye nini na umekuwa ngoma zaidi ya miaka 5...., najaribu tu kuwaza walikutana katika mazingira gani miaka hiyo
 
Katika wanaume wavumilivu huyo naye yumo mana tangu 2007 hadi leo anavumilia tu.

Ila yakimzidia jibu atalipata tu mana huwezi jua kwan unaweza ukampa maamuzi ya tofauti mwisho wa siku ukaonekana mbaya..

Halafu achana kabisa na masuala ya mahusiano hasa ya mke na Mme. Utampa ushauri watafarakana ila kuna muda watarudiana. Siku wakirudiana lazima utatajwa kuwa ulikuwa mshauri mkuu.
Kwa hiyo hayo masuala ni kuwaachia wao wenyewe
 
mwambie ndoa ni kuvumilia mbona wanawake wengi wanapigwa j3j5&ijumaa lakini wapo. hiyo nimeipenda! KUNYATA ANYATE KINYONGA AKINYATA KICHECHE ANANYATIA KUKU.
 
Una uhakika rafiki yako ni MWANAUME???!!!
Kweli mkuu amuulize vizuri kama anauhakiaka kuwa yeye ni mwanaume au wakiume. Haya malalamiko huwa hayatolewi na mwanaume bali utasikia solution tu juu taabu kama hizi tena huwa hawana tatizo la kufanya maamuzi magumu huwachukua muda mfupi kupata utatuzi.
 
acha maneno ya kejeli kama vile wewe ni mkamilifu ambaye hujawahi kukutana na changamoto katika maish
Mkuu hii nayo unaiita changamoto? Mwanaume kushindwa kusimama nafasi yake bado tuipe jina la changamoto.
 
mwambie ndoa ni kuvumilia mbona wanawake wengi wanapigwa j3j5&ijumaa lakini wapo. hiyo nimeipenda! KUNYATA ANYATE KINYONGA AKINYATA KICHECHE ANANYATIA KUKU.
Ushauri mzuri sana huu na wanandoa wengi wa aina hii wataupenda mno kwani hiki ndicho wanachopenda kusikia
 
Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake, mwambie hivyo mshikaji
 
Back
Top Bottom