Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake, mwambie hivyo mshikaji
Halafu achana kabisa na masuala ya mahusiano hasa ya mke na Mme. Utampa ushauri watafarakana ila kuna muda watarudiana. Siku wakirudiana lazima utatajwa kuwa ulikuwa mshauri mkuu.
Kwa hiyo hayo masuala ni kuwaachia wao wenyewe
Mi sipend mtu visanga vyake vinavyomkuta avihadithie kupitia marafiki!
Mkuu hii nayo unaiita changamoto? Mwanaume kushindwa kusimama nafasi yake bado tuipe jina la changamoto.
Huyo jamaa yako hamuwezi huyo mwanamke wake cha kufanya awe nae mbali.
Mapenzi kwisha hapo
Kweli kabisa mkuu tena kuna wengine wakielewana mpaka uliyokuwa unamshauri atamwambia mkewe.
So ni bora awaache tu kwan mwisho wa siku maamuzi wanayo mwenyewe.
Kweli kabisa mkuu tena kuna wengine wakielewana mpaka uliyokuwa unamshauri atamwambia mkewe.
So ni bora awaache tu kwan mwisho wa siku maamuzi wanayo mwenyewe.
haloo
tatizo la kuoa mke bouncer
ukute jamaa kamwili kadogo y asipigwe
akileta ujinga!!pole yake!!mchaguage saizi yenu
Hahaha mapenz nipige tu
Mwambie akuandikie talaka yako.....zzzz kama hiyo story ni ya kweli.
changanya na heading nafsi ya kwanza umojaAisee mbona hiyo story inashindwa kusound kwa bongo yangu?
2004 wameanza mahusiano.
2007 ke akaanza tabia mbaya.
2009 wakaoana.
Alafu yale matatizo tunayoyashuhudia kwa me hapo yapo kwa ke.
na huyo me hajui nini afanye!!!!
ACHA KUTUDANGANYA NDUGU.