Matusi ya jf

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
708
Haya ni baadhi ya maneno yasio na utata na mod. hapa jf ingawa yanatumika kama kuwakilisha maneno ambayo yakitajwa hadharani unaweza kula Ban la nguvu, ikiwa yakitumiaka namna hii kila mmoja anaelewa inkusudiwa kusemwa nini, ndio kusema lugha inakuwa? mi sijui, ila inabidi yaingizwe kwenye kamusi ya jf ili wageni weweze kuilewa waposoma,

1. cameroon
2. masaburi
3. Tigo
4. ..........................

ongeze list hii
 
si unaona sasa kama hayo mimi sijui kabisa maana yake hebu tutungie walau sentensi moja moija pengine tukaelewa
Si unahitaji sentensi, hii hapa... Ukiwa KIHIYO wakati unashughurikia NUKTA jiangalie, maana unaweza UKAKAMERUNIWA MASABURI yako
 
Back
Top Bottom