Kama ni hivyo basi wameingia choo cha kike sana. Ni haki ya wananchi kusikiliza bunge live na kama watafanya hivyo nadhani duniani itakuwa ni Tz pekee ambao wamefanya hayo.
Lengo ni wananchi kukosa habari za kina juu ya mambo yanayojiri bungeni.
Once you feel symptoms of CCMonia sickness, immediately treat it with Chademaquine tablets U will be cured. Chademaquine tablets are available all over the country. If illness persists consult Dr.Slaa! SEND THIS INFORMATION TO MORE THAN 50 PEOPLE, DONT WAIT UNTIL 2015.Lets be cured now do not wait to die!
Pamoja na yote haya, kama behind the scene ni mpango wa ccm basi huu ni moja ya mpango uliobackfire na kukiaibisha chama cha mapinduzi.Ni Mkakati wa makusudi kabisa, imeandaliwa na kuratibiwa na Chama kikongwe kwa madhumuni ya kutafuta sababu za kuwahadaa wananchi wakubaliane na mpango wa kusitisha kurusha matangazo ya bunge LIVE (moja kwa moja).
Ndugu let me enlight you, In your posting what you r recommending is the DOOMS DAY, Very unfortunately although i am not affiliated to any Party, whether u believe me or not, Dr.Slaa is never the right choice, nor will he ever be, God forbid that this man ever has any chance to lead this blessed country. He is part of the MOTHER OF ALL EVIL, In Chadema there are many potential leaders 100 times better than, the CHEATING PRIEST who betrayed god just for LUST, What will he do when he has a whole nation at his disposal. While Chadema has people like MBOWE, ZITTO, HALIMA nk, why this guy who still thinks he is at the pulpit he dicrerated. Please stop this foolishness
Ni Mkakati wa makusudi kabisa, imeandaliwa na kuratibiwa na Chama kikongwe kwa madhumuni ya kutafuta sababu za kuwahadaa wananchi wakubaliane na mpango wa kusitisha kurusha matangazo ya bunge LIVE (moja kwa moja).