Matusi na Ubabe Bungeni: Behind the scene

Matusi na Ubabe Bungeni: Behind the scene

Once you feel symptoms of CCMonia sickness, immediately treat it with Chademaquine tablets U will be cured. Chademaquine tablets are available all over the country. If illness persists consult Dr.Slaa! SEND THIS INFORMATION TO MORE THAN 50 PEOPLE, DONT WAIT UNTIL 2015.Lets be cured now do not wait to die!
I like that!
 
Once you feel symptoms of CCMonia sickness, immediately treat it with Chademaquine tablets U will be cured. Chademaquine tablets are available all over the country. If illness persists consult Dr.Slaa! SEND THIS INFORMATION TO MORE THAN 50 PEOPLE, DONT WAIT UNTIL 2015.Lets be cured now do not wait to die!
imetulia kweli kweli.
 
Matatizo yote ndani ya bunge yanasababishwa na Spika MAKINDA na Naibu wake NDUGAI. Hao watu wawili (MAKINDA na NDUGAI) inatakiwa waondoke ama waondolewe haraka kwenye hizo nafasi ili taifa liweze kunusurika na hili janga vinginevyo tutashuhudia hali mbaya sana.
 
Bora waendelee kutuonyesha ili tujue ukilaza wao na tuweze kuamua kwenye sanduku la kura pasipo kushawishiwa na mtu/kikundi .....
 
Jamani mimi sikusikiliza Bunge leo kutokana na kazi nilizokuwa nazo, kwani kuna matusi gani yametolewa humo bungeni leo?
 
Plan ilikuwa kuiuzia CHADEMA udini ambao wao ni waasisi na vinara.
Kuwa chama cha upinzani ni lazima uwe na intelijensia ya hali ya juu.

MaCCM yalijipanga leo ni siku ya kukitupia CHADEMA zigo la udini.
CHADEMA wakawagundua mapema, ndo maana Lema akaingia front akagonga ikulu kwanza kabla ya yote.
Mwigulu alipangwa amalizie utumbo wake kwa kuleta zile habari zake za 'nina video na nina ushahidi'.
Toto Tundu alipojaribu kutibua kwa kuomba kutoa taarifa, Ndugai akapaniki akijua mpango unataka kuvurugwa, kwa jinsi alivyokuwa kilaza akafikiri personal attack itasaidia.

Kumbe ****** bila kujua ndio anajichafua hivyo!
 
Matatizo yote ndani ya bunge yanasababishwa na Spika MAKINDA na Naibu wake NDUGAI. Hao watu wawili (MAKINDA na NDUGAI) inatakiwa waondoke ama waondolewe haraka kwenye hizo nafasi ili taifa liweze kunusurika na hili janga vinginevyo tutashuhudia hali mbaya sana.

Ni kweli kabisa, hawa jamaa hawapo fair, wapo kichama zaidi!
 
Ndugu let me enlight you, In your posting what you r recommending is the DOOMS DAY, Very unfortunately although i am not affiliated to any Party, whether u believe me or not, Dr.Slaa is never the right choice, nor will he ever be, God forbid that this man ever has any chance to lead this blessed country. He is part of the MOTHER OF ALL EVIL, In Chadema there are many potential leaders 100 times better than, the CHEATING PRIEST who betrayed god just for LUST, What will he do when he has a whole nation at his disposal. While Chadema has people like MBOWE, ZITTO, HALIMA nk, why this guy who still thinks he is at the pulpit he dicrerated. Please stop this foolishness
Si ungesema zitto ni superman tuu.acha ukauzu wewe.kutoka kanda ya ziwa tanganyika basi unataka kauzu awe chakula cha taifa ni kimataifa.
 
Eee mwenyenzi Mungu tupe watanzania kuyaweka haya yote kama kumbukumbu ifikapo 2015 tufanye maamuzi magumu .
Hakuna kitu kinacho umiza kama kumuona mtu akitetea uovu live na kufunika ukweli. Waungwana hawatakiwi kabisa kwenye bunge letu
Hawa watu wafuatao na utu uzima wao bt ukiwaona bungeni ni kama watoto 1. Wasira
2. Ndugai
3. Lukuvi
4. Baadhi ya wabunge wa viti maalum kama si wote akiwamo yule bibi anayeongea kama analia- Anna some bdy Wengine mtamalizia.
 
ndugu let me enlight you, in your posting what you r recommending is the dooms day, very unfortunately although i am not affiliated to any party, whether u believe me or not, dr.slaa is never the right choice, nor will he ever be, god forbid that this man ever has any chance to lead this blessed country. He is part of the mother of all evil, in chadema there are many potential leaders 100 times better than, the cheating priest who betrayed god just for lust, what will he do when he has a whole nation at his disposal. While chadema has people like mbowe, zitto, halima nk, why this guy who still thinks he is at the pulpit he dicrerated. Please stop this foolishness

my friend you such a biased person, maybe you just have person hatred of dr slaa but as far a people can remember chadema is more focused and strong under dr slaa's leadership.if that is what you call bad leadership than there is something wrong with your brains, if you would call nchembe(the deputy national secretary ccm) a good leader than find a doctor to cure you with that brain disorder
 
Huyu Mkilindi naona ka-edit sasa inaoneka kama vile mie ndio nimeandika hio comment kwenye RED....sijui kama hii ni sawa
MY FRIEND YOU SUCH A BIASED PERSON, MAYBE YOU JUST HAVE PERSON HATRED OF DR SLAA BUT AS FAR A PEOPLE CAN REMEMBER CHADEMA IS MORE FOCUSED AND STRONG UNDER DR SLAA'S LEADERSHIP.IF THAT IS WHAT YOU CALL BAD LEADERSHIP THAN THERE IS SOMETHING WRONG WITH YOUR BRAINS, IF YOU WOULD CALL NCHEMBE(THE DEPUTY NATIONAL SECRETARY CCM) A GOOD LEADER THAN FIND A DOCTOR TO CURE YOU WITH THAT BRAIN DISORDER
 
Ubabe huu wa kiti unasababishwa na kiburi cha serikali.
 
nafikiria kuwa huu ni mpano wa vyama vyote kulitumia bunge kupata sympathy toka kwa wananchi, badala ya ku focus kwenye hoja muhimu zaidi. kibaya zaidi watanzania tumekuwa ni wateja wazuri wa Mipasho hii inayoendelea lkn kwenye back ground tunanung'unika tu!! so kwangu mie bunge kuonyeshwa LIVE au kutooneshwa live hakuna maana yeyote!!! kwani contents zinazoonyeshwa ni sawa na zisizo onyeshwa = yanayojadiliwa yasubiri wkt wa kampein!! BUnge lifanye kazi za kibunge kweli sio kila chama kujitetea tu na kuibuka na mipasho kila kukicha!! napita tu.....
 
do you think tz is blessed? dirty! I never supported Dr Slaa Nor Kikwete, but are you serious This country is called a blessed one/ are you among those says peace and so so is in Tanzania poor you!
 
Back
Top Bottom