Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,558
- 1,460
Ni Mkakati wa makusudi kabisa, imeandaliwa na kuratibiwa na Chama kikongwe kwa madhumuni ya kutafuta sababu za kuwahadaa wananchi wakubaliane na mpango wa kusitisha kurusha matangazo ya bunge LIVE (moja kwa moja).
Kwa Hiyo wakisitisha Bunge ndio
1. Matusi yatakuwa halali huko Mafichoni?
2. Matusi yatapungua
Ni suluhisho la Kijuha sana