Matured Christian Man for Marriage

Status
Not open for further replies.
Ukishaona vingereza vingi na ma vigezo mengine amabayo hayana kichwa wala miguu jua mhusika bado hajatambua anachotaka....kifupi bado haelewi
Kwani lazima aelewe unavyotaka wewe?

Unampangiaje mtu lugha na vigezo kwenye suala la ndoa na mapenzi?
 
Serious question: kama wanaoolewa mapema ndo the best, why are there divorces, michepukos and kataa ndoas? ? ?

Au kataa ndoa ni ndoa za watu walioolewa 30+?
 
Nina miaka 31
Nasali TAG CCC Upanga
Na pia AIC CHANG'OMBE CHURCH
Nilikuwa auliza unaye mtu? 🤣
 
Kwani lazima aelewe unavyotaka wewe?

Unampangiaje mtu lugha na vigezo kwenye suala la ndoa na mapenzi?
Ni kama ambavyo wewe huwa unataka watu wamuelezee mwenyezi Mungu kama unavyotaka wewe. Kumbe na wewe unatambua hicho ni kitu cha ajabu ila unajizima data.
 
Kila Lakheri Madam Upate hitaji la moyo wako na vigezo vyako Neema na kudra huwa hazichelewi wala kuwahi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…