Inasikitisha sana ndio maana ndoa nyingi za kikristo zinaongoza kwa talaka.Unatafuta mume then unaonyesha ujeuri kwenye kadamnasi? Kuwa humble, utakosa mume Kisha uanze kusema umerogwa kumbe jeuri zako zinakuponza....nimeshajua why upo 30 na hujaolewa.
pole sana unahitaji usaidizi wa psychology kuna kitu hakipo sawaNdo dawa yenu
Kwahio wewe umekuja kujibizana na wanaume...nikupe pole kwanza hutopata mwanaume hapa na zaidi lazima utakua una matatizo makubwa kwamba huko kanisani kwako wanaume wote hawajakuona Hadi umefikisha miaka30 Bado ngoma mbichi, Hadi umekuja kwenye mitandao ya kijamii? Hakuna mwanaume miaka 40+ anatafuta mke ..ni either anatafuta mchepuko ama mtu wa kumaliza nae uzee..😂 na I believe huko kanisani kwako sijui uko kwa mwamposa , unawaona wengi wao wako na wake zao na watoto kibwena...endelea kuchambua mchele na majibu yako hayo.. miaka 40 hio hapo.. itafika utakuja tena hapa kusema unataka ANAYEPUMUA TU...Ndo dawq yao
hakuna mke hapa, ndio maana hajaolewa hadi sasa.Inasikitisha sana ndio maana ndoa nyingi za kikristo zinaongoza kwa talaka.
All the bestWewe sio muoaji
Mimi nipo tayari ila naona una makasiriko sana na umri au watoto kwamba lazima awe mmoja.Im looking for a serious relationship .Matured single christian Man for holly marriage .
Must be a reformed Christian [Born Again]
Aged 40 to 45 ,with no kids / not more than one kid
Awe na Afya njema
Awe mwenye na nia ya dhati ya kuoa
Awe amemaliza ujana wake na anahitaji kusettle na kutengeneza familia
Awe mkweli na mcha Mungu
Awe dsm ,dodoma,morogoro,tanga
Naitwa mercy ,30s by age
Naishi pwani kibaha,mkristo nimeokoka
Mwajiriwa ,najitegemea ,
Only serious please .
Don't take it serious mkuu sio Uzi wangu huu....anyway muhusika ndo huyo umemuona?Mafeminist uchwara kwenye kutafuta mwenza hakuna ubabe Wala kujiona mwamba wala kula za uso, tabia yako inaweza kujionesha wazi tu hata kwa unachoondika...kupandishiana vifua na wanaume ...endeleeni kuoana wenyewe kwa wenyewe si mmerhusiwa?
umeshadoda usiwe mkaliBibi ako
Im looking for a serious relationship .Matured single christian Man for holly marriage .
Must be a reformed Christian [Born Again]
Aged 40 to 45 ,with no kids / not more than one kid
Awe na Afya njema
Awe mwenye na nia ya dhati ya kuoa
Awe amemaliza ujana wake na anahitaji kusettle na kutengeneza familia
Awe mkweli na mcha Mungu
Awe dsm ,dodoma,morogoro,tanga
Naitwa mercy ,30s by age
Naishi pwani kibaha,mkristo nimeokoka
Mwajiriwa ,najitegemea ,
Only serious please .
Vigezo na masharti kuzingatiwa .mm ndo najua nataka nini so kaa kwa kutulia
Ww nahisi tunawezana huyu hapanaWakija wengi nigawie mmoja
Amen 🙏Barikiwa
Uzi mmoja wa kibabe sana..halafu mtoa mada nae hajakaa kinyonge yanii🤣
Ukileta fuoko unakula za usoo🤣
Ana Uzi wake wa 2024 ..Don't take it serious mkuu sio Uzi wangu huu....anyway muhusika ndo huyo umemuona?
Mi nachangamsha genge tu mwaya ila kiukweli huyu dada anakoseaa,nsiwe mnafki!
Majibu yake yanaweza kuwarudisha nyuma wenye Nia njema akaambulia wahuni huko pm
Unawaza mambo ya udini sana mzee, what wrong with you!Sisi waislamu tunabaguliwa nchi hii hadi kwenye ndoa
Mfumo Kristo is real!😀