TBC1 inawezekana walikuwa na nia ya kummaliza Slaa kuwa ni mropokaji na muongo Kibao kikageuka. CAG Mh. Utouh aliprove huku kamera za TBC1 zikimuonyesha akijibu kwa uhakika mkubwa na kusema kuwa hatua za kisheria zinaandaliwa. Hii ni taarifa ya habari ya usiku wa 28 October, Labda watamkemea CAG.
CAG alafu anajifanya kushangaa wakati report zake most of the time zaonyesha embezzlement na mis use of funds kibao sembuse 3.5billion.
Ngoja tusubiri iyo report yake
Inaonyesha hata wewe hujui kwa nini TZ ni masikini................hahahaha.... wanachadema wa JF mmenifurahisha kidogo... ngoja niwahi kwenye kikao, lala salama hii, nitawaletea salamu nzito za ushindi WA KISHINDO baada ya j2.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
hahahaha.... wanachadema wa JF mmenifurahisha kidogo... ngoja niwahi kwenye kikao, lala salama hii, nitawaletea salamu nzito za ushindi WA KISHINDO baada ya j2.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Mkuu jamaa alisema ripoti ni hadi march, ndo maana mkwere anazidi kuchanganyikiwa, usikute ana mkono wake na yeye katika hili.. Maana kama al;isomewa taarifa za wizi kama huu na yeye akazikubali basi ni wazi ajua kilichomo
INAWEZEKANA Kweli Kuwa zimeenda kwenye kampeni?