Elections 2010 MATUNDU YA CHOO BAGAMOYO: CAG ataka madai ya Dr. Slaa yafanyiwe kazi

Dr. Slaa ni makini, anasoma, anapambanua, anaelewa, na anafahamu akasome wapi ili apate habari ipi! Huyu ndio anafaa kuwa Rais!
 
CAG angekuwa ni mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi basi Tanzania kwisha kombolewa siku nyingi!
 
CAG alafu anajifanya kushangaa wakati report zake most of the time zaonyesha embezzlement na mis use of funds kibao sembuse 3.5billion.
Ngoja tusubiri iyo report yake
 
TBC1 inawezekana walikuwa na nia ya kummaliza Slaa kuwa ni mropokaji na muongo Kibao kikageuka. CAG Mh. Utouh aliprove huku kamera za TBC1 zikimuonyesha akijibu kwa uhakika mkubwa na kusema kuwa hatua za kisheria zinaandaliwa. Hii ni taarifa ya habari ya usiku wa 28 October, Labda watamkemea CAG.

Mkuu hilo hata mimi naliamini hivyo 100%, maana ni hawa hawa TCC1 walioenda kumtafuta yule waliyetwambia ni mmiliki wa kampuni ya kutengeneza cement na wakaja na conclusion kuwa bei ya mfuko mmoja wa cemnt hauwezi kuwa 6000
 
CAG alafu anajifanya kushangaa wakati report zake most of the time zaonyesha embezzlement na mis use of funds kibao sembuse 3.5billion.
Ngoja tusubiri iyo report yake

Mkuu jamaa alisema ripoti ni hadi march, ndo maana mkwere anazidi kuchanganyikiwa, usikute ana mkono wake na yeye katika hili.. Maana kama al;isomewa taarifa za wizi kama huu na yeye akazikubali basi ni wazi ajua kilichomo
 
hahahaha.... wanachadema wa JF mmenifurahisha kidogo... ngoja niwahi kwenye kikao, lala salama hii, nitawaletea salamu nzito za ushindi WA KISHINDO baada ya j2.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Inaonyesha hata wewe hujui kwa nini TZ ni masikini................
 
Dk Slaa kila tuhuma anayotoa huwa ina ukweli ndani yake sijui kuhusiana na hili watamuita Dk Slaa mropokaji maana CCM wameishazoea kumuita mropokaji sasa sijui kwa hili nataka niwasikie watasemaje halafu tena hili limetokea nyumbani kwake ambako ripoti ilipokuwa ikiwasilishwa na yeye anapiga makofi kufurahia maskini TANZANIA yangu.
 
Mkuu jamaa alisema ripoti ni hadi march, ndo maana mkwere anazidi kuchanganyikiwa, usikute ana mkono wake na yeye katika hili.. Maana kama al;isomewa taarifa za wizi kama huu na yeye akazikubali basi ni wazi ajua kilichomo

Report tayari imethibitisha ubadhirifu au unayosema march ni hizo hatua?
 
TANZANIA: Nchi ambayo gharama ya kujenga choo kimoja cha shule ni milioni 700, nchi ambayo Rais wake hajui ni kwanini maskini
 
INAWEZEKANA Kweli Kuwa zimeenda kwenye kampeni?

Mtaka Haki;

Without any reasonable doubt,pesa hizi zaidi ya bilion 3.2(Milion elfu 3 na mia 2)ndiyo zimeweka mabango ya JK kila mtaa hapa TZ;ndiyo pesa hizo hizo zinazofanya wana CCM wapewe jozi za fulana mpya kila siku za kampeni!

Haiingii akilini mtu mzima na akili zako ukubali tena kwa kupiga makofi ripoti inayoonyesha kuwa choo kimoja cha shimo kimejengwa kwa gharama ya Milion 700!Hata baadhi ya nyumba nyingi sehemu za bei kubwa kama Oysterbay-Dar hazijafikia bei ya choo kimoja kilicho thibitishwa na waziri Kawambwa kule Bagamoyo!

WaTZ ambao wengi wao hata kuwa na uhakika wa mlo mmoja wa siku hawana leo hii wanajengewa choo cha shimo kwa gharama ya milion 700!Mungu tuongoze watz Oktoba 31 tuyaondoe "manyang'au"haya!
 
Halafu Mbunge wa B'moyo alikanusha eti ni laki saba tu...aibu iliyoje..
 
"Mtaka Haki;
Je ccm sio vizuri kesho wakati wa mdahalo wakajibu tuhuma hizi? Kwa nini rais ashangilie wizi nyumbani kwake?"

Leo kwenye TBC1 mbunge Shukuru Kawambwa amefafanua kuwa:
1. Bajeti nzima ya elimu ya wilaya ya Bagamoyo kwa kipindi hicho ilikuwa Sh 1 bn tu hivyo vyoo kufikia 3 bn haiwezekani.

2. Bajeti ya choo kwa kila shule ilikuwa 700,000 (Laki saba tu) that means waliompelekea Dr Slaa waliongeza three zeros yaani walichakachua takwimu.
 
Hivi kwanini kila anachoongea Dr. Slaa TBC wanatafuta mtu wa kuchakachua hoja zake??
 
hahahaha.... wanachadema wa JF mmenifurahisha kidogo... ngoja niwahi kwenye kikao, lala salama hii, nitawaletea salamu nzito za ushindi WA KISHINDO baada ya j2.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Akili zako zitakuwa hazifanyi kazi, lakini kwa nini wabongo wengi IQ ni ndogo sana kama huyu jamaa? make inavoenekana hata IQ ya mzee wa kaya ni ndogo sana na ndo maana mambo yake mengi hayako kwenye mstari.
 
TBC1 inawezekana walikuwa na nia ya kummaliza Slaa kuwa ni mropokaji na muongo Kibao kikageuka. CAG Mh. Utouh aliprove huku kamera za TBC1 zikimuonyesha akijibu kwa uhakika mkubwa na kusema kuwa hatua za kisheria zinaandaliwa. Hii ni taarifa ya habari ya usiku wa 28 October, Labda watamkemea CAG.

Nadhani kwa sasa ofisi ya CAG ndiyo Taasisi inayoongoza kufanya kazi yake kimaadili.Sasa kama watafikia hatua ya kumkemea Mh.Utouch na timu yake na ambayo nadhani wanaweza au wamekwishafanya hivyo basi, wajue kuwa hata ushindi wao wanaoutegemea kuupata kwa kuchakachua Kura na kama watafanikiwa kufanya hivyo hautawafikisha mwisho wa 2015.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom