Wamaanisha yale yasiyokuwa na mbegu kwa uasilia wake au..?, maana biotechnolojia imefanikisha kuondoa mbegu hata yale yaliyokuwa na mbegu kwa uasili wake!!
Wamaanisha yale yasiyokuwa na mbegu kwa uasilia wake au..?, maana biotechnolojia imefanikisha kuondoa mbegu hata yale yaliyokuwa na mbegu kwa uasili wake!!
We mama tafadhali loh! Muwa sio tunda my love, ni majani.
By the way, muwa una mbegu. Utakubaliana na mimi muwa ukikomaa sana unatoa mauwa kwa juu, basi huo ni ushahidi kuwa muwa una mbegu. Lakini the best and fatest way kuzalisha muwa ni rooting