Matunda ya usaliti

Huyuu jamaa enzi zake dah anatoa madini hadi unajiuliza tumpate wapi mtu kama huyu. Lakin poa earth as a sphere.
 
Mkuu andika hata kwa kiswahili inauma kuandika kwa lugha ya malkia afu hata tenses hujui duh! Samahani lakini! Ukiandika neno written kuna kitu wanaita helping verb nakumbuka form two miaka ya 80!!
Pole mkuu

Ila najua ushanielewa nilichomaanisha..!
 
Dhamira huongea nasi.. Hutuhoji... Hutusuta kwa sauti isiyosikika... Kimya kimya kabisa View attachment 720660

Wewe binafsi amekusaliti nini? Kwanini msiseme chama kilimsaliti yeye maana mliowakaribisha siku zote aliwaita walafi wanakwiba mali za Taifa? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...Jamaa alikijenga sana chama. Sasa hivi chama kinasubiri matukio ili waonekane wapo. Zamani walikuwa wanayatengeneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…