Matunda ya uhuru hayoooo

Pia tumeongezewa na gharama ya petrol na kuiacha shilingi yetu idondoke kama dafu toka kwenye mnazi
 
Haya ndio yanayo itambulisha SERIKALI inayotuongoza

WAO NI KILA KITU, mpaka HAKI YA RAIA ni yao
 
Nchi ina wenyewe hii, na matunda ya uhuru ni kwa watu maalyum!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…