BUBE JF-Expert Member Nov 9, 2010 846 253 Apr 7, 2012 #2 Pia tumeongezewa na gharama ya petrol na kuiacha shilingi yetu idondoke kama dafu toka kwenye mnazi
Ambitious JF-Expert Member Dec 26, 2011 2,144 875 Apr 7, 2012 #4 Matunda tunapewa.Lakini mbona tunapewa yaliyooza?
mgeni10 JF-Expert Member Nov 29, 2010 1,109 369 Apr 7, 2012 #5 Haya ndio yanayo itambulisha SERIKALI inayotuongoza WAO NI KILA KITU, mpaka HAKI YA RAIA ni yao
Shine JF-Expert Member Feb 5, 2011 11,481 1,364 Apr 7, 2012 #6 Ambitious said: Matunda tunapewa.Lakini mbona tunapewa yaliyooza? Click to expand... Na bado tukikaa vibaya hata hayo yaliyooza hatutayapata
Ambitious said: Matunda tunapewa.Lakini mbona tunapewa yaliyooza? Click to expand... Na bado tukikaa vibaya hata hayo yaliyooza hatutayapata
jacjaz JF-Expert Member Sep 7, 2011 440 205 Apr 8, 2012 #7 mgeni10 said: Haya ndio yanayo itambulisha SERIKALI inayotuongoza WAO NI KILA KITU, mpaka HAKI YA RAIA ni yao Click to expand... Hapo umenena mkubwa!
mgeni10 said: Haya ndio yanayo itambulisha SERIKALI inayotuongoza WAO NI KILA KITU, mpaka HAKI YA RAIA ni yao Click to expand... Hapo umenena mkubwa!
SILENT ACtOR JF-Expert Member Apr 9, 2011 627 181 Apr 30, 2012 #8 Nchi ina wenyewe hii, na matunda ya uhuru ni kwa watu maalyum!