Matunda Matamu Sana Haya

Matunda Matamu Sana Haya

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
13151706_1069767916449445_8235842144732437663_n.jpg
 
Kwani ni matunda gani haya yenye majanga hayo uliyotaja?
Mapera hayo mkuu .Ukithubutu kumeza zile mbegu zake kwa wingi utajuta yaani utadhani unajifungua kwa nyuma jinsi kimba linavyotoka kwa ugumu
 
Hayo mapera, moja limekomaa/limeiva jingine bado halijaiva.
 
Back
Top Bottom