Lakini mkuu mbona kule vijijini panya buku sio huyo?? Kwetu mnyama fulani yupo kama panya hivyo hivyo ila ni mkubwa kama paka yeye hua anakaa chini ardhini kwenye shimo hua anataka usiku tuu na chakula chake kikuu ni makweme au konokono au mahindi (yale makavu) hia shimo lake akichimba udongo hua ni mwingi kama nusu ya fuso hivi!!kiswahili hua sijui ila kilugha anaitwa....naona aibu kusema[emoji85] [emoji85]