Matunda gani haya?

Kwetu kuna matunda yanaitwa matakoyabibi yanafanana na haya..ila si haya
 
Itakuwa ni zabibu pori au zabibu town maana majani yake yanafanana sana na ya zabibu.
 
Kwetu kuna matunda yanaitwa matakoyabibi yanafanana na haya..ila si haya
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji144] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] .....ya bibi
 
Zambarau pori!![emoji86] [emoji86]
Alafu mizizi yake ni chakula kikuu cha mnyama mmoja hivi anaitwa fuko!!(huyu fuko kiswahili chake sikijui!!)
Fuko kiswahili chake ni panyabuku..
 
Mkuu hayo maini yake matamu sana kuna siku nakumbuka tulimtega akanasa sasa wakati tunamchoma tumpe mbwa ile nyama yake ilitutamanisha tukampasua yalr maini tuliyachoma tukayagonga!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85]
[emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lakini mkuu mbona kule vijijini panya buku sio huyo?? Kwetu mnyama fulani yupo kama panya hivyo hivyo ila ni mkubwa kama paka yeye hua anakaa chini ardhini kwenye shimo hua anataka usiku tuu na chakula chake kikuu ni makweme au konokono au mahindi (yale makavu) hia shimo lake akichimba udongo hua ni mwingi kama nusu ya fuso hivi!!kiswahili hua sijui ila kilugha anaitwa....naona aibu kusema[emoji85] [emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…