Matumizi ya time tracker kwenye upwork & freelancer

Matumizi ya time tracker kwenye upwork & freelancer

Superpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
826
Reaction score
921
Habarini jamani naomba kujuzwa kama kunakuwepo na matumizi ya time tracker Katika kazi za fixed price huko upwork na freelancer.com.

Napia ningependa kujuzwa kuwa kazi za freelancer.com ambazo ni fixed price ndo hizi Zinazoandikwa kwa range mfano $250 - $750 USD.

Note; situmii pc kwahiyo msaada naomba uwendane na hali yangu. Pia usione Kama siko serious kutokana ni vigumu kufanya freelancing na smartphone pekee. Lakini mm nimeona inawezekana kabisa kwasababu nilishafanya Fiverr na simu pekee inawezekana ila Fiverr saizi siitaki kutokana nakudai passport kwa kyc verification ko nimeamua niangalie upande mwingine wa shilings.

Sio hivyo tu Ila mwezi wa Saba nilinusurika kupata kazi upwork baada ya kufeli tests na clients alielewa kuwa Sina pc lakini bado alitaka kunipa more test
 
Habarini jamani naomba kujuzwa kama kunakuwepo na matumizi ya time tracker Katika kazi za fixed price huko upwork na freelancer.com.
project za kulipwa kwa saa ( mf: 30USD/hour) ndiyo zenye time tracking, kuna desktop software yake, una track masaa uliyofanya kazi, ukimaliza inakokotoa inakupa figa ya mkwanja, client analipa au inalipa automatically ( kama client ame enable automatic billing )

Napia ningependa kujuzwa kuwa kazi za freelancer.com ambazo ni fixed price ndo hizi Zinazoandikwa kwa range mfano $250 - $750 USD
ndiyo, hii ni fixed, yawezakua bajet ya employer ni USD 500 , ila platform inaweka kwa range ie: $250-$750
 
Asante Sana mkuu kwahiyo sitahitaji kabisa time tracking kwenye fixed price jobs
 
hapana, ushasema 'fixed'
ila unaweza mwambia client abadili iwe 'hourly paid project'
Aaa siwezi mwambia mm napenda hiyo hiyo fixed coz hiyo time tracking software Ina window os na Mac os na mm ni Android user
 
Fiverr omba passport Kwa mwenye nayo akusaidie uverif identity (KYC), hata Mimi nilikutwa na tatzo kama lako, ila nikafanikiwa kulisolve Kwa namna hiyo. Mpaka sahv napiga job fresh Fiverr baada ya kuverify
 
Mm kuni dai hawajanidai ila nahofia waki nidai wakati pesa ipo kwao maana kutoa mbaka usd 20
 
Fiverr omba passport Kwa mwenye nayo akusaidie uverif identity (KYC), hata Mimi nilikutwa na tatzo kama lako, ila nikafanikiwa kulisolve Kwa namna hiyo. Mpaka sahv napiga job fresh Fiverr baada ya kuverify
Passport ya mtu watakubali kweli
 
Back
Top Bottom