Matumizi ya super magic powder kunyolea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matumizi ya super magic powder kunyolea

Discussion in 'JF Doctor' started by kvelia, Jan 12, 2012.

 1. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wadau ni mwaka sasa na zaidi nimekuwa nikitumia super magic powder kunyolea ndevu, naomba kwa wanaojua wanijuze kama ina madhara. Nitashukuru sana
   
 2. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Keli aisee maana isije siku tukaota ndevu za shaba. Wataalam tunaomba majibu.
   
 3. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Kuna thread ndefu yenye majadiliano haya kwa kina ilishaanzishwa humu! Itafute...maana hii utapata michango iliyoshiba kama mule!
   
 4. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mi sikushaur coz nshaitumia ikanitoa michunusi mbaya zaid ya fenesi mpaka skul jamaa mmoja alinambia angekuw ni yeye angejiua!
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Magic mie naona hatari, inafanya ndevu zinakuwa kama uji!
   
Loading...