mi pia nashndwa muelewa my boyfriend,tukiwa wote anapenda zima simu na anapenda kagua yangu yani,lakini hua simkatalii,na akiwasha tuu anakua nayo busy kweli yan full kupiga na kupigiwa,tisa kumi tukiwa apart kila nikimcol mara nying anakata afu atatumatext wait,hapo ntasubiria mpaka basi,na anaweza asipige mpaka nipige,usiku tukiwa twaongea ananambia subiri ntakupgia,nikimuliza nani unaongea nae anasema mdg wake wa kiume,ndo kisingizio yani,au anaeza semani ndugu yake,haitoshi akisafiri hatumi msg mpaka nimtumie na anaweza asijibu,akisha fika aendako hasemi mpaka nimuulize jamani na nikipiga simu ananiambia subiri hapo atapiga usiku sanma au laa nishtuke nimpigie sometimes inaboa sana inafikia kipindi mtu unazoea dharau