Matumizi ya simu katika Mahusiano

Baada ya hapo natangaza kuvunja ndoa! Maana kuna sisi wengine tumezoea kuachiana simu pale inapokuwa ya mmojawapo haina hela ya kutosha au haina chaji. Kwa hiyo ni normal tu kuangalia mesage za kila mmojawetu. Sasa ikitokea nikakutana na message ya aina hiyo halafu na yeye akanijibu hivyo, itamaanisha haturidhishani, na hivyo uhalali wa ndoa haupo.
 
do not uncover the grave...u must get that nasty smell!...that's me!
 
Hawajiamini!
Ni ishara ya kutokujiamini
 
Utakufa kwa presha bureee. Ukitaka kuchunguza alacho kuku hutamla asilani.
 

Hellow mdau, me kwa mawazo yangu, kama ninyi ni wapenzi ili kudumisha mapenzi yenu ni bora kila mtu asishike simu ya mwenzie ili kuepuka ugomvi usio na sababu. ikitokea mmoja kashika simy ya mwenzi iwe ni kwa sababu maalumu kama simu ya mwenza wake haina charge au imeishiwa salio na si vinginevyo. KAMA ninyi ni wanandoa hilo halina shida ila liwe na mipaka pia. sio kuangalia inbox aliyepiga na vitu kama hivyo. jamani ile inaitwa simy ya mkononi na hiyo ni kwa matumizi ya mtu mmoja mmoja (individual) sasa kwanini tuanze kuchungana eti nani kapiga nani katuma sms.... ina maana hakuna imani kati yenu?
 
hakuna mapenzi hapo.kitu gani kinawafanya waendelee kuwa pamoja?

 

Hapa kuna mambo mawili,
Tabia ya kutaka kujua mawasiliano ya mwebzako na watu/marafiki zake na issue ya kutaka kufumania!

Hizi ni tabia mbili tofauti!
Kuna mtu anataka kujua wewe na marafiki zako huwa mnaongea nini!?......tabia ya kipumbavu sana hii.
Hii ya pili ni kwamba ameshajua wewe unapiga mchangani, hivyo anacheck ili akufumanie! Maana yake hapo hampo kwenye health relationship hata kidogo!!
 
U need peace of mind? Basi kaa mbali na simu ya mwenza wako
OTIS
 
We abiria chunga mzigo wako,wife wangu lazima awe free na simu yangu na mimi nipo free na simu yake.
Ukiona patner wako hataki uguse simu yake ujue ipo balaa ndani ya simu yake.
 
Umeona eeh. Mimi uwa nawasikitikia sana wanawake ambao usema "mume wangu hataki nishike simu yake, ameweka password" Mkifikia kupigana marufuku kushika simu kwa kweli ni heri mtumie condom tu maana ni cheating at work.

Haya mambo ya Married but Available haya. Watu wameoa lakini wako free to date whoever they want

We abiria chunga mzigo wako,wife wangu lazima awe free na simu yangu na mimi nipo free na simu yake.
Ukiona patner wako hataki uguse simu yake ujue ipo balaa ndani ya simu yake.
 
hakuna ahaja ya kuingilia kwenye simubora kila awe na uhuru na simu yake
 

watoto bana....wewe ukishaingia kwenye relation inamaainisha umegive up also ur privacy towards ur partner...mmekuwa kitu kimoja...kama huwezi basi tulia peke yako
 
kushika simu ya mpenzio na kupekua haisaidii na inaweza kukuletea presha tu ..
 
naona inasaidi halafu haisaidii.inasaia endapo utabaini kuwa mumeo au mkeo anakusaliti hivyo unapata nafasi ya kutoa maamuzi yako ya kusuka ama kunyoa.haisaidii endapo hautakuta k2 chochote kinachoashiria kua unasalitiwa while ni kweli unasalitiwa,kuna njia nyingi za mawacliano zaidi ya cm kubwa ni internent na hasa ukizingatia kua m2 unaweza kua na email zaidi ya moja na mawacliano na hawara yakaendelea kama kawaida huku wewe ukijihesabu kua uko alone.kingine anaweza akawa ana2mia hiyohiyo cm bt akadelete vyote kabla hajarud home na acwe na mawacliano na huyo mwizi ucku kucha cuz mara zote anaeiba humjua amuibiae bt ni vigumu kwa unaeibiwa kujua kua unaibiwa...so kwa anaeamin kukagua kunamsaidia na aendelee kukagua na acieamin pia vivyo hivyo.

 

Nyumba kubwa huwa unapotea sana bidada..... ina maana awe anaangalia nani kapiga leo nani katext????
 

mtu akiamua kucheat anacheat tu... mi nina mfano hai mmoja hivi. kuna baba m1 alikuwa na nyumba ndogo yake. hiyo nyumba ndogo haipigi simu mpk ipigiwe. ratiba ya huyo baba ilikuwa hivi: akitoka hm asubuhi anampitisha mkewe kazini thn anampgia nyumba ndogo wanakutana wanakaa mpk mida ya saa 4 asbh thn huyo baba anakwenda zake ofcn. sometime anatumia ule muda wa lunch kumtafuta yule nyumba ndogo wanabanjuka. yule baba alikuwa na kampuni yake binafsi ndo mana inamiwia rahisi kukutana na bibie. siku nyingine huyo baba anasafiri kikazi siku zote anazosafiri anakuwa na ile nyumba ndogo. nyumba ndogo haruhusiwi kupiga wala kutext kama ana shida sana apige simu ya ofc thn yule baba atamsadida hiyo shida yake. yule baba akitoka ofcn anampitia mkewe wanarudi home. hebu fikiria ni lini yule mama atagundua kuwa mmewe anacheat???????? hawezi kuta sms wala calls ya nyumba ndogo so tabia ya kucheat haidhibitiwi na kukagua simu za wenzi wetu.
 
ni miezi mitatu toka niwe na uhusiano na huyu mdada, ila cha kushangaza kila tukitofautiana anablock simu yangu na baadae anaomba msamaha anasema ilikua hasira,ila leo ndo amenishtua kwani kaniomba ni mrushie salio mi nikamwambia kwaleo sina hela labda kesho mwezangu kanuna na hataki kuongea na mimi na simu yangu kaiblock, kweli huyu mdada ana mapezi ya kweli au ananipotezea muda wangu tu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…