Matumizi ya simu katika Mahusiano

Ole wao wanaoshea demu/ dume, kwani watakufa kifo kimoja endapo mmoja wao ana ngoma. Broda kama huwa unagonga kavu a.k.a stereo jiulize mara mbili
 
Ila umewahi kumuhukum hujamtendea haki ungempa nafasi zaid. punguza wivu ndugu
 

Mpotezee bana wanawake wengi tena wengne wastaharabu na wazuri kweli kweli wanajua thamani ya kupedwa acha na huyo customer care wa usiku.kwani ulizaliwa nae paka um bembeleze
 
heri yangu mimi mwisho wa kupiga simu saa kumi jioni .....kupigiwa kumi na mbili jioni....kupiga/kupigiwa....kuanzia saa mbili na nusu asubuhi.....period.....

mdada sasa ule muda wa kumkamata m2 wewe ndo hupigi wala kupigiwa hujui usiku una mambo mengi ya giza ndo maana ulinzi unaimarishwa kila mahali hata mahusiano?mi nadhani usimuache pasipo udhibitisho wa maovu yake,what if what she says is true?
 
heri yangu mimi mwisho wa kupiga simu saa kumi jioni .....kupigiwa kumi na mbili jioni....kupiga/kupigiwa....kuanzia saa mbili na nusu asubuhi.....period.....

Unatakiwa kuguard ur treasure otherwise ndo he‘ll be snatche na usijue!
 
ipe roho yako kile in apenda Endelea naye kuacha wakati demu unampenda kunahitaji ujasiri Je unao?? umewahi kumukata kuku aliye hai shingo kwa meno??
 
Sasa hupokei simu akupe maelezo sie unataka tukujibu aje?
Unajichosha roho yako, pokea simu akudanganye kidogo roho itulie. Otherwise usingehitaji ushauri hapa!

Wewe una akili sana,hili ni jibu muafaka.Either pokea cm udanganywe au anza maisha mapya ndivyo walivyo na huyo ni kicheche mzoefu ndio maana hata roho haimuumi
 
Kama ni ubavu wako weka ndani ili wadokozi wasipate nafasi usiogope garama nenda kwenye ndoa za mafungu

 

msikilize ujue kulikoni
 
Ukila nawe kubali kuliwa sasa wewe Kisu unataka kula tu.Inawezekana humtimizii baadhi ya mahitaji ndo maana ameamua kumtafuta mwenzako akusaidie.
 

kaka chapa lapa, hapo mmepangwa baab. mie ilishanitokea akanidanganya alikuwa anaongea na ccta(it was the day brazil wanacheza na taifa starz), nikasamehe ila ukweli niliujua baadae alikuwa na mtu. tulishaachana anyway.
 


"Namuona mzushi...anacheat" tena ningekuwa ndo wewe hata JF nisingelifikisha....ningeshampa za mbavu long time
 
"Namuona mzushi...anacheat" tena ningekuwa ndo wewe hata JF nisingelifikisha....ningeshampa za mbavu long time

Erick52 kupiga sio ishu pia kupenda ni mzigo mzito na unahitaji moyo kutolea maamuzi kwanza anatakiwa achunguze japo kwa sms za binti inaonekana binti amechukulia poa ishu ya job saa sita hajui hata kudanganya si mwaminifu Kabisa
 

simu za kawaida mara nyingi mtu kachelewa sana saa 3 usiku mwisho. zaidi ya hapo ni mtu wako wa karibu sana ambaye hata usiku wa manane anaweza kukupigia na iwe kawaida. unless mchongo huo wa kazi ni Marekani ambako tunatofautiana masaa 8-12. message anazokutumia zinaongea zenyewe, anakukejeli (sanif) hana shida na wewe. funguka...
 
Erick52 kupiga sio ishu pia kupenda ni mzigo mzito na unahitaji moyo kutolea maamuzi kwanza anatakiwa achunguze japo kwa sms za binti inaonekana binti amechukulia poa ishu ya job saa sita hajui hata kudanganya si mwaminifu Kabisa

Hivi pendo siunaona na anavyotuma hizo msg?
Hazina hata chembe ya busara wala ukarimu...lol
mwanamke gani wa hivyo.....hata kupenda kunafaa uangalifu...binti huyu si mwaminifu na ni mshari sana....hafai hata kuwa rafiki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…